Nikiona mtu mzima anaendesha boda naingiwa na hofu sana

Ni kweli ni suala linalofikirisha sana hususani ukifikiria labda na mimi na weza kuwa hivyo nikiwa.mzee au?
Cha msingi usimcheke.mtu tujitahidi kujibidiisha kumuomba Mungu pamoja na kuwekeza Kwa ajili ya baadae.
 
Bodaboda ni kazi nzuri tu tatizo linaanzia pale wanaposhindwa kufua take sheria za barabarani na wengi wao hawana leseni ya kuendesha vyombo vya moto na wengi wao wana nyendo na sifa mbaya za umalaya, ulevi, uvutaji wa shisha na kutokuwa na elimu ya kutosha
 
Imagine mtu Ana age ya 60, 50 alfu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswal mengi sna kwamba nin kimetokeaa Hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kbsaa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kbsa Hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Alfu unakuta wengine wanauza mashamba Yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujuwa kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mm nilimuagiza kwenda sehemu fln

Vijana tuweke sna akiba siyo poaa kbsaaa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Omba yasikukute.... angalau huyo anapata rizki kihalali
 
Kaka unashangaa hilo kuna ndugu yangu mstaafu kabisa wa shirika moja la usafirishaji la serikali amestaafu toka 2020 sasa iv ni Bodaboda...

Ukikosea ujanani Mateso ni uzeeni
 
Mbona hushangai mwalimu wa miaka 50 kuendelea na kazi?
 
Kaka unashangaa hilo kuna ndugu yangu mstaafu kabisa wa shirika moja la usafirishaji la serikali amestaafu toka 2020 sasa iv ni Bodaboda...

Ukikosea ujanani Mateso ni uzeeni
Hkn kitu Kama hcho yaani nitoke serekaliNi Kisha niingie boda

Kwani Hana pension Hana mafao acha uongo
 
Hisia zako tu mbaya, mwanamke pia anaweza kufanya kazi za udereva na wengi wamekuwa maarufu na kufanikiwa maisha
Sasa na wewe jitu Zima unakwenda kupanda boda unakaha nyuma ya mwanamke uana akiki Kweli alfu unaona sawa tu Basi utakuwa na shida kubwa
 
Bodaboda ni kazi nzuri tu tatizo linaanzia pale wanaposhindwa kufua take sheria za barabarani na wengi wao hawana leseni ya kuendesha vyombo vya moto na wengi wao wana nyendo na sifa mbaya za umalaya, ulevi, uvutaji wa shisha na kutokuwa na elimu ya kutosha
Brazaa uko nnje ya mada mm nazungumziaa hbr za uzeee na boda boda sijasema kazi Ni mbaya Wala kuongelea vijana hap ninavhoongeleaa Ni wazeee. Kuendesh boda na kuona sifa kwa age ya 60

Hivi umefauluje kwanza mnk inabidi nikuhoji
 
Ni kweli ni suala linalofikirisha sana hususani ukifikiria labda na mimi na weza kuwa hivyo nikiwa.mzee au?
Cha msingi usimcheke.mtu tujitahidi kujibidiisha kumuomba Mungu pamoja na kuwekeza Kwa ajili ya baadae.
Sahihi kbsaa mungu atusimamaie mnk ni hatari kudrive boda with aged ya 67
 
Maisha yana mambo mengi hasa ukiwa unaishi Africa.

Kukwama na kushindwa kuwa yule ambaye uliumbwa ili uwe Kutokana na mambo mengi Sana.

Ikiwemo kushindwa kujua vipaumbale vyako , mfano kati ya kujenga uchumi na kuoa kipi kianze.

Vijana ambao wanaoa mapema wengi hawajipati kwa haraka Ila mwisho huishiwa kuishi maisha ya hand to mouth na paycheck to paycheck
 
Imagine mtu Ana age ya 60, 50 alfu anaendesha boda unaweza kuingiwa na maswal mengi sna kwamba nin kimetokeaa Hadi Muda huu anakimbizana na vijana wa miaka 20 ,23 na unamkuta anajisifia kbsaa kuwa mimi nina miaka 8 kwenye kazi hii.

Unakuta kijana ana 40+ kbsa Hadi unaogopa kumtuma unajiuliza hivi hawana mashamba au wameuza

Alfu unakuta wengine wanauza mashamba Yao na kugawna pesa na wengi kwenda kununua boda bila kujuwa kuwa boda Ina risk kubwa.

Mungu wajalie bodaboda wote kazi hiyo ni hatari sana.

Leo nimeogopa walai mtu mzima mm nilimuagiza kwenda sehemu fln

Vijana tuweke sna akiba siyo poaa kbsaaa nilipanga nipige bia nne ila nimekunywa moja tu naondokaa zangu Walai
Mbona kuna madakyari wana miaka 50 au 60? , hawana mashamba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom