Nikimuona nahisi uchungu na hasira moyoni

Okya

Member
Apr 18, 2012
34
7
Kwa takribani miaka 21 kuacha kuwa na mahusiana naye kwasababu maneno machafu na yanayochafua roho na kutojali kwake,nilidhani naweza msahau na tukawa marafiki but kiukweli namchukia baba yangu as long napomuona sijisikia sina raha kumuita baba wala kuwa nae karibu Roho inauma nimuonapo,Ameninyima kitu adimu ambacho siwezi pata kwa yeyote yule now nimekuwa mtu mzima. Namchukia huyu baba jina.
 
Ukikua unatakiwa usamehe

uhusiano wa baba na mzazi haufi, ni wewe mwenyewe kuchagua alternative unayoipenda.

Ukimchukia inauma zaidi hasa unaporudi na kusema huwezi pata baba mwingine.

Dawa ni samehe.
 
Unapochukia unajiumiza wewe zaidi kuliko unayemchukia!

Unaposhindwa kusamehe, nawe hustahili kusamehewa hata na Muumba wako!

Hakuna kitu kinachomuuma mtenda ubaya kama kulipwa wema!

Hivyo ndugu yangu, kwa baba yako ni wajibu!
 
ni mpaka ukutane na watu wenye wazazi 'ovyo' kuliko wako
ndo utashangaa kumbe wangu 'malaika'
trust me
 
Kwa takribani miaka 21 kuacha
kuwa na mahusiana naye kwasababu maneno machafu na yanayochafua roho na
kutojali kwake,nilidhani naweza msahau na tukawa marafiki but kiukweli
namchukia baba yangu as long napomuona sijisikia sina raha kumuita baba
wala kuwa nae karibu Roho inauma nimuonapo,Ameninyima kitu adimu ambacho
siwezi pata kwa yeyote yule now nimekuwa mtu mzima. Namchukia huyu baba
jina.

Ni ngumu sana ila jitahidi kusamehe na kusahau ikiwezekana. Mshirikishe sana Mungu.
 
Funguka kidogo ilitukupe ushauri zaidi,dada Kaunga amemaliza,The Boss ameyasema,Kongosho katoa nasaha lakini hebu tuambie zaidi kulitokea nini?
 
Samehe yote mkuu.. Utakuwa huru sana...

Fuata mfano wa Mandela na Makaburu... Hiyo ndiyo suluhisho pekee.. We mpende.. Jifunze kumpenda na kumheshimu.. Wasiliana naye mara kwa mara.. Mengine yote unayatupa kushoto..

Inalipa sana,na I guarantee,utafurahia maisha yako hapa duniani!
 
We kichaa kweli kweli kuna mtu anaweza kumchukia baba yake.
 
fazaa, kuna vitu vinaweza vikafanya mtu amchukie hata mzazi.

Nikupe mfano, kuna mzee alimtoa kafara mjukuu wake, baadae yule mtoto wake ambaye ni baba wa mtoto akajua.

Unaweza imagine alimchukiaje?

We kichaa kweli kweli kuna mtu anaweza kumchukia baba yake.
 
Last edited by a moderator:
fazaa, kuna vitu vinaweza vikafanya mtu amchukie hata mzazi.

Nikupe mfano, kuna mzee alimtoa kafara mjukuu wake, baadae yule mtoto wake ambaye ni baba wa mtoto akajua.

Unaweza imagine alimchukiaje?

Sasa hili ndiyo mwenye thread aelewe kuwa watu wana matatizo makubwa na wazazi wao kuliko hata yeye.. Hajapata tu kusikia!
 
Last edited by a moderator:
Lakini hata huyu alifika mahali akasamehe ila kiaina.

Ilikuwa salamu tu, na kutuma msaada huko huko aliko.
Hakuwahi mkaribisha kwake tena.

Sasa hili ndiyo mwenye thread aelewe kuwa watu wana matatizo makubwa na wazazi wao kuliko hata yeye.. Hajapata tu kusikia!
 
Pole Sanaa kwa machugu ulio nayo ,nadhani una maswali na unahitaji majibu na hakuna wakukupa majibu hayo isipokua ni yeye mzazi,unadorned kua nikiumbe mwenye hekima na moyo wake ipo sehemu japo kiduchu inampenda ndio mana unaumia,haiwezekani mtu akakumiza kichwa usie mpenda,tafuta Mdaa keti nae. Chini umulize yote uliokua nayo moyoni amini itakusaidia....
 
sio peke yako ulietendwa na baba,i'm one of them,ila simchukii bali namuonea huruma tu.maana ukishazeeka,mtoto ndio huwa na power kuliko mzazi.
 
Pole san ndugu, i am a victim also. hutakiwi kujenga chuki mwache abakie kuwa baba jina tu. bora wewe 21yrs mie nakaribia 30 ndio anaanza kujitokeza kwangu. ki ukweli inauma but samehe tu
 
fazaa, kuna vitu vinaweza vikafanya mtu amchukie hata mzazi.

Nikupe mfano, kuna mzee alimtoa kafara mjukuu wake, baadae yule mtoto wake ambaye ni baba wa mtoto akajua.

Unaweza imagine alimchukiaje?
Kongosho, niko na wewe hapo...sema huyo kamchukia baba yake sababu kalazimishwa akasome.
 
Back
Top Bottom