Nikichaguliwa RAISI /kiongozi wa nchi hii

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
1. Nitapiga Marufuku vikao na michango yote ya HARUSI. Na yeyote atakeye pledge sijui kubliji anapata miaka 3 jela.
 
Mpendwa rais mtarajiwa angalau ungetoa sababu za kupiga marufuku na kutoa adhabu kali namna hiyo.
Tupe sasababu basi.
 
[1. Nitapiga Marufuku vikao na michango yote ya HARUSI. Na yeyote atakeye pledge sijui kubliji anapata miaka 3 jela]
safi sana....hii kitu si nzuri...kwanza ndio inasababisha watu wanaochangia kumnyemelea mkeo
 
Pole sana Nguli nadhani umepiga maheasabu mpaka sasa ni harusi ngapi umechangia ,,,na hadi ifike December hali itakuwa mbaya zaidi ..
 
[1. Nitapiga Marufuku vikao na michango yote ya HARUSI. Na yeyote atakeye pledge sijui kubliji anapata miaka 3 jela]
safi sana....hii kitu si nzuri...kwanza ndio inasababisha watu wanaochangia kumnyemelea mkeo

Mamabo ya watu kumnyemelea mkeo ni INFIRIOTY COMPLEX yako wewe Boflo. Ndio nyie mnaokuwa na mwanamke halafu huamini kama ni kweli ni wa kwako. Matokeo yake kila wakati unahisi unaibiwa ibiwa tu!
 
mmmmh we Nguli wewe

Usigune JS, calculate muda unaotumiwa kwenye kitchen part, send off na harusi kwenye mabaa. Bado fedha tunazochanga tena nyingi siuku hizi zina minimum balance ya kuchanga ambayo ni laki 1 unakuta mshahara wako ni 150,000 inakuwa kazi yako nikutoa 30 kila mwezi mwisho wa mwaka pay as u earn imekuwa overridden na michnago ya harusi na sasa tumeugeuza utamaduni. Research inaonyesha mkoa wa DSM pekee unaconsume TZS 5 billion kwa mwezi hivi tungechangia mambo mengine ya muhimi kama elimu na afya leo hii tungekuwa wapi?
 
I totally agree with you Nguli on the subject. Ni pesa nyingi sana zinatumika kwenye harusi sijui send off sijui kitchen party mara bachelor's party mara sijui nini visherehe kibao kweli na kinachokasirisha zaidi ni pale mtu anapodiriki kuweka minimum amount eti ya kumchangia wtf.........kwani lazima kukuchangia in the first place???
 
Kuna kajimtindo mnako siku hizi eti kama ni mwanakamati min shs kadhaa! Jamani hata dhana ya kusaidiana imekufa kabisa
 
Na ndio maana ukawa sio RAIS.

Plato aliwahi kusema kuna watu wachache wanazaliwa na akili kuongoza wengi ambao hawakujaliwa hicho kipaji. Nafikiri ali overlook uweza wa wapiga kura wakuona ability/talent kwa mgombea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom