Nikaushe au nimsamehe? Ushauri wako muhimu

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
968
1,064
Habari wakuu

Nina mpenzi wangu tuna mahusiano zaidi ya mwaka lakini haipiti week mbili bila kugombana

Yaani lazima tuu tugombane na visirani sana tena sana , unaweza ukampigia simu hapokei au anakata unatumia message hajibu au akakujibu kwa kuchelewa. Sasa kuna kipindi juzi juzi hapa nikatumia message ya nikamuambia tuachane simhitaji akasema poa.

Akaaanza kutuma status maneno ya vijembe, akamueleza mshikaji wamgu mshakaji akaniomba niomuone kumbe yuko na demu wangu kufika pale mshikaji akanikalisha chini akadai shemeji kamuambia nimemuacha sasa nikamuambia amekuambia sababu z mm kumwacha akasema ndio.

Nikamwambia jamaa ni kweli memuacha simtaki
Demu aliangua kilio cha nguvu na kuanza kuniomba msamaha kalia saana nikaondoka nikamuambia nitamjibu.

Sasa wakuu kutokana na huyu mwanamke kuwa na visirani vya mara kwa mara nimekua na mahusiana wanawake tofauti tofauti.

Nimasemehe au niendelee na msimamo wangu?
 
Ukimsamehe atakupiga tukio ili nae akuumize
 
Sometime tunajifunza kupitia Makosa. msamehe na mpe nafasi ingine ila hakikisha anarekebisha makosa yake
 
Habari wakuu

Nina mpenzi wangu tuna mahusiano zaidi ya mwaka lakini haipiti week mbili bila kugombana

Yaani lazima tuu tugombane na visirani sana tena sana , unaweza ukampigia simu hapokei au anakata unatumia message hajibu au akakujibu kwa kuchelewa. Sasa kuna kipindi juzi juzi hapa nikatumia message ya nikamuambia tuachane simhitaji akasema poa.

Akaaanza kutuma status maneno ya vijembe, akamueleza mshikaji wamgu mshakaji akaniomba niomuone kumbe yuko na demu wangu kufika pale mshikaji akanikalisha chini akadai shemeji kamuambia nimemuacha sasa nikamuambia amekuambia sababu z mm kumwacha akasema ndio.

Nikamwambia jamaa ni kweli memuacha simtaki
Demu aliangua kilio cha nguvu na kuanza kuniomba msamaha kalia saana nikaondoka nikamuambia nitamjibu.

Sasa wakuu kutokana na huyu mwanamke kuwa na visirani vya mara kwa mara nimekua na mahusiana wanawake tofauti tofauti.

Nimasemehe au niendelee na msimamo wangu?
kama mwanaume simama na msimamo wako.
 
Jiandae, akikifanyia hivi kabla ya ndoa,
Atakukalia Kooni baada ya ndoa. Atakupa mawazo tele mbele ya safari .Muache kabla hujafanya nae maamuzi ya ndoa. Utanishukuru baadae... nilipitia humo humo...
Hii ni power game ambayo ina madhara ya kiafya. Itakuja fika muda utapendelea kukaa Na marafiki nje ukifikiria arguments nyumbani.
Maamuzi Ni sasa kabla ya majuto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom