S Siasa Member May 18, 2009 29 7 Mar 23, 2012 #1 Wakuu nimeingia Dodoma jioni hii. Nataka nile wkend na kimwana wangu aliyepo hapa hapa. Nijuzeni viwanja vipi naweza toka nae. Ningependa sehemu iliyotulia,ninadrive.
Wakuu nimeingia Dodoma jioni hii. Nataka nile wkend na kimwana wangu aliyepo hapa hapa. Nijuzeni viwanja vipi naweza toka nae. Ningependa sehemu iliyotulia,ninadrive.
Songoro JF-Expert Member May 27, 2009 4,122 1,017 Mar 23, 2012 #3 Huyo dem ulienae unammiliki au ndo wale wa kukwapua? tupe sifa za demu wako as viwanja vinategemea na profile ya dem mwenyewe!
Huyo dem ulienae unammiliki au ndo wale wa kukwapua? tupe sifa za demu wako as viwanja vinategemea na profile ya dem mwenyewe!
S Siasa Member May 18, 2009 29 7 Mar 23, 2012 Thread starter #4 Mtulivu kama mimi,ni wapenzi wa siku nyingi,tunataka sehemu nzuri tule raha jioni hii