Nijuzeni viwanja vizuri vya kustareheka hapa Capital CIty

Siasa

Member
May 18, 2009
29
7
Wakuu nimeingia Dodoma jioni hii. Nataka nile wkend na kimwana wangu aliyepo hapa hapa. Nijuzeni viwanja vipi naweza toka nae. Ningependa sehemu iliyotulia,ninadrive.
 
Huyo dem ulienae unammiliki au ndo wale wa kukwapua? tupe sifa za demu wako as viwanja vinategemea na profile ya dem mwenyewe!
 
Mtulivu kama mimi,ni wapenzi wa siku nyingi,tunataka sehemu nzuri tule raha jioni hii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom