Nijulisheni majukumu ya Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,693
20,453
Nimekuwa naona Wassira mara atoe matamko, mara ajibu shutuma, mara azindue miradi, nk. Sasa ningependa nijue majukumu ya Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and Co-ordination) hasa ni yapi! Si kwamba ninapinga anachofanya waziri Wassira, ila ni kwamba sielewi wizara yake inashughulika na mambo gani hasa, so naomba mwenye kufahamu anijulishe hapa. Hapa ningependa zaidi kufahamu wizara hii kuliko waziri mwenyewe (Wassira).
 
kama ambavyo nafasi nyingi katika nchi hii hazielezeki saana mantiki ya kuwepo kwake,hii nayo mkuu. Mi nadhani ni kuja "kivyengine" kwa ile nafasi ya Kingunge Ngombale Mwiru kabla ya baraza lile kuvunjwa.Huyu mzee alikua Waziri katika ofisi ya rais - Siasa na habari, wakati huohuo akiwepo pia waziri wa habari utamaduni na michezo. Hii by elimination ina maana alikua ni waziri wa SIASA! Sasa wamebadili kdogo jina lol!:evil:
 
Nimekuwa naona Wassira mara atoe matamko, mara ajibu shutuma, mara azindue miradi, nk. Sasa ningependa nijue majukumu ya Ofisi ya Rais-Mahusiano na Uratibu (President's Office-Social Relations and Co-ordination) hasa ni yapi! Si kwamba ninapinga anachofanya waziri Wassira, ila ni kwamba sielewi wizara yake inashughulika na mambo gani hasa, so naomba mwenye kufahamu anijulishe hapa. Hapa ningependa zaidi kufahamu wizara hii kuliko waziri mwenyewe (Wassira).

mimi ningependa kuzungumzia zaidi kuhusu waziri mwenyewe kwamba alipewa wizara hiyo ili kumuepusha na aibu ya kukosa uwaziri hasa baada ya waziri za maana kuwa zimejaa. jk kwa kuhofia kuwa bwana huyu angeweza kutimkia upinzani akaona isiwe taabu, akamuanzishia wizara.
 
Mahusiano ya nini na nini? Kuratibu mambo gani? Ukitafakari kwa makini utabaini kuwa kina issue inashughulikiwa katika wizara husika, sasa hii ya Ndugu yangu Wassira imesimama wapi? Hata mimi sielewi!
 
majukumu ni mengi ikiwa ni pamoja na kutembelea gombe wild life ili kukutana na ndugu na jamaa.
 
Attachments

  • Gorilla2.jpg
    Gorilla2.jpg
    57.6 KB · Views: 32
  • Gorilla1.jpg
    Gorilla1.jpg
    56.4 KB · Views: 61
  • Gorilla3.jpg
    Gorilla3.jpg
    29.3 KB · Views: 26
  • Gorilla5.jpg
    Gorilla5.jpg
    53 KB · Views: 28
Kazi yake ni Kuchukua wake za watu,kutelekeza wake zake na watoto.na ndio shughuli za Wasira
Jamani wakuu, sikutaka tumzungumzie Wassira. Nilitaka nijue nini special hii wizara inakifanya!
 
Jamani wakuu, sikutaka tumzungumzie Wassira. Nilitaka nijue nini special hii wizara inakifanya!

Ofisi yake inahusika ns mahusiano kati ya Serikali na jamii, pia inasimamia Tume ya Mipango ambayo inaratibu Miradi kama TASAF , MKURABITA na miradi mingine ambayo ipo chini ya Tume ya Mipango.
 
Back
Top Bottom