Nigerian Dude Kills his Hot Girlfriend for Going to the Pool without him.

wapo wa nigeria watulivu mno
kuna jimbo lile analotoka 2face na p square
wanasifika kwa utaratibu na utlivu
wenye kelele ni yoruba na igbo....kelele tupu...
hahahahahahahahahah hujatulia wewe....mie nnachojua Yoruba ni wakorofi na wachawi wanaoongoza Nigeria ila kwa Igbo sijui kwa kweli!!!
 
watu zaidi ya milioni 150 wote wawe wanaongea kwa sauti...haya mazito

wale kabila ambazo zamani walikuwa wana sauti ya chini nao siku izi wanaongea kwa kelele pia. tatizo hawana umeme , kila nyumba anatumia generator. sasa ni kelele streets zoteeeeeeeeee. hakuna kusikilizana, so lazima kuongea sauti kubwa kulabiliana na hii kelel ya generator
 
Wachache mno wapole
wengi rude tu
afu perception yao kwa wadada wa kitz siipendi
wanawaona wauzaji tu, kwa hiyo its stricly bznes
sijui hii aidia walipata wapi

sio kweli kabisa...kuna Mnigeria unaweza kutana nae anaongea taratibu mpaka wakati mwingine weye unajiona una kelele!
 
wale kabila ambazo zamani walikuwa wana sauti ya chini nao siku izi wanaongea kwa kelele pia. tatizo hawana umeme , kila nyumba anatumia generator. sasa ni kelele streets zoteeeeeeeeee. hakuna kusikilizana, so lazima kuongea sauti kubwa kulabiliana na hii kelel ya generator
hata watz hawana umeme...na sio kweli kwamba hawana umeme ila ndani ya lisaa unaweza katika mara 15na zaidi,ndo maana kuepuka adha kama hizi wengi wao wanaishi vijijini!!
 
Kweli zamani twiga alikuwa na shingo fupi kama ng'ombe ila akaugua meno ikabidi ale yale majani malaini ya juu sana hadi shingo ikarefuka.

hiyo ecology ya kubadilishwa na generator nimeipenda

wale kabila ambazo zamani walikuwa wana sauti ya chini nao siku izi wanaongea kwa kelele pia. tatizo hawana umeme , kila nyumba anatumia generator. sasa ni kelele streets zoteeeeeeeeee. hakuna kusikilizana, so lazima kuongea sauti kubwa kulabiliana na hii kelel ya generator
 
Kuna movie nyingine ame act John Dumelo na Tonto ndo iliyonifanya nimjue na kumpenda for the first time. Inaitwa Love alone Part two yake sijuhi ndo one inaitwa secret shadow. zote ni nzuri. Hizi zote zinapatikana You Tube.
 
yes Nyumba Kubwa, nilishaziona.. yule kijana mie nakubali kwa kweli
 
Back
Top Bottom