Nigeria Threatens to Leave Africa!...mwe!!

SUPERUSER

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
960
304
Abuja - Following the expected loss of AU chairmanship to Boni Yayi of Benin Republic, President Goodluck Ebeble Jonathan’s administration today threatened to breakaway from Africa and form an independent continent of Nigeria.

In a terse press release signed by Mr. Reuben Abati, Nigeria stated:

"Since Africa does not consider our President, Dr Goodluck Ebele Jonathan good enough for the Chairmanship of the African Union, then Africa does not deserve our presence on the Continent."

Following the statement, Africa's most populous nation has given the AU an ultimatum of 1 week to regroup and crown GEJ the head of the prestigious union otherwise there shall be consequences.

The press release also advised the advisory body of AU not to bother trying to contact GEJ on the matter as it is non-negotiable. The document pointed out that the Nigerian president is currently too busy negotiating with more important personalities like Boko Haram who the AU should not force him to exile to their countries.

Meanwhile, ministers, cabals, and members of parliament are believed to have secretly convened to decide how Nigeria’s breaking away from Africa should be organized to ensure that the Igbos and other Southerners do not use the opportunity to slip away into the Atlantic with their oil and also form their own continent

SOURCE: wazobiareport
 
wezi tu hao kila mahali who needs them anyway?
let them break away see how they are threatened AU vinganganizi hao
never trust a nigerain vyuo vingi vimeshaanza kuwanyima scholarships
kwani hata wakimaliza chuo hawarudi kwao let alone wizi wanaofanya wa hela kwa wenzao mavyuoni kwa njia ya mtandao.
 
AU ina maana gani??hasa kwa nchi kubwa kubw akama Nigeria?wao kwa wao wanafanyiana unafiki...hakuna matamko ya pamoja wala uzalendo wa bara letu ni fitina tupu!!!
 
Organizations kama AU na nyinginezo zinazofanana nazo duniani President Mugabe anaziita just a mere clubs like golf club,veteran club,Common Wealth n.k. ambozo kuwemo au kutokuwemo,kuingia au kutoka hakuna maana.
AU ina maana gani??hasa kwa nchi kubwa kubw akama Nigeria?wao kwa wao wanafanyiana unafiki...hakuna matamko ya pamoja wala uzalendo wa bara letu ni fitina tupu!!!
 
hahaaa na sisi TZ tujitoe bana..tujiunga na uswisi ili JK awe kutwa DAVOS kujibu maswali kwa ufasaha kama alivofanya juzi..hahaaaaa baba Rizione weeeeee
 
Hivi kiukweli kuna maana ya uafrika tena siku hizi?
Watoke tu, na wengine nao watoke tu.
Eti AU!
 
Mimi simuelewi Goodluck Jonathan,mara ya kwanza nilimuona kiongozi makini lakini kwasasa sijui amekuwaje!Hv kuwa mwenyekiti wa AU ni sifa au kujichafua?AU ni nini hasa kama siyo organization ya wamagharibi kuinyonya Africa?Hv kwanza kuna AU bado au ni kamjumuiko ka wachumia tumbo wa africa kupongezana kwa unafiki na usaliti wao kwa watu wao!!!AU ya kwame nkrumah bana sasa hv ni upumbavu tu!!!!
 
Kwani uenyekiti si unakwenda kwa zamu? Yeye ndiyo kwanza amepata uraisi hivi majuzi au ni sifa tu?

Na waondoke bwana wasituharibie bara letu. Kwanza mzungu akikufananisha na hawa jamaa basi amekudharau kwa jinsi walivyoliharibu jina la waafrika kwa utapeli.
 
Kwani uenyekiti si unakwenda kwa zamu? Yeye ndiyo kwanza amepata uraisi hivi majuzi au ni sifa tu?

Na waondoke bwana wasituharibie bara letu. Kwanza mzungu akikufananisha na hawa jamaa basi amekudharau kwa jinsi walivyoliharibu jina la waafrika kwa utapeli.

Lenye sifa zipi?
 
Boko Haram where ar u? mbon mnaacha haya majamaa yanajitnua tena?
 
Back
Top Bottom