Nifanye nini cha Ziada????

Eeh kazi unayo kaka
Ninachoona ni kuwa mkeo anajua matatizo aliyonayo thts why hataki kusikia habari ya kwenda kwenye vipimo, ushauri wangu ishi nae kwa akili kama maandiko yanavyokuagiza, huna jinsi coz tayari ni mkeo na umekula kiapo. Usithubutu kumwambia kuhusu mtoto/watoto wako wa nje atawatoa roho kama sio kukutoa roho yako

NDUGU YANGU nimekaa na mawazo,Kuna muda nashikwa na hasira natamani nimuambie ukweli lakini naona kama naweza kusababisha madhara makubwa kama sio kwakwe,ni kwa yule mwanamke ambaye amekubali kunizalia mtoto wa kwanza,na amekuwa radhi kuniongezea mwingine,au hata kwangu pia maana nimeshaanza kuona dalili za ushirikina
 
Mshauri mu-adopt mtoto; huenda akipata mtoto hizo frustrations zitapungua.
 
Nashindwa hata kukushauri.wewe si mkweli hata kidogo.sema matatizo na masumbufu ya dunia unayompa mkeo kwanza kabla ya kutuambia ubaya wake.unafanya maujinga yako halafu una tafuta washabiki hapa jf.jirekebishe kwani haupendezi h ata kidogo
 
aisee sijui nisemeje maana umetoa kasoro tu kwa mkeo na kama unataka kuhalalisha hao watoto wa nje.... Natumaini Dark City atakuwa kakupa ushauri wa kutosha
 
Last edited by a moderator:
Nashindwa hata kukushauri.wewe si mkweli hata kidogo.sema matatizo na masumbufu ya dunia unayompa mkeo kwanza kabla ya kutuambia ubaya wake.unafanya maujinga yako halafu una tafuta washabiki hapa jf.jirekebishe kwani haupendezi h ata kidogo

I wish ungenifahamu mama timmy,kuna wengine huku wamechangia na kuona kama nimeolewa.ila ukweli ni kwamba sikupanga kabisa kutoka nje.tatizo lako wewe unaona kama wanaume ni wakorofi,natamani ningekuelezea historia ya maisha yangu na mambo ambayo nayafanya kwa ajili yake lakini hakuna shukrani wala kujali,Mama jinsi unavyonifikiria sivyo nilivyo,mpaka muda mwingine nawaza kwanin hili limetokea kwangu???
 
Mimi nijuavyo wanawake wengi ni wakatili kutokana na manyanyaso wanayoyapitia kutoka kwa mwanaume na mwanamke wa namna hii ukatili wake ni mkubwa sana,pia kuna wanawake ni wakatili toka kuzaliwa kwao na huyo ungemjua mapema na usingekubali kumuoa.hivyo Kama mkeo hakuwa na tabia hiyo kabla basi jiangalie vzr.halafu unasema umezaa nje ya ndoa je una uhakika gani kuwa Hao watoto ni wako?isijekua ulienda kwa huyo mwanamke ukatangaza udhaifu wa mkeo wa kuto zaa ?utakujapewa watoto wa wenzio na Hilo si geni linafanyika sanaaa tu.watoto wanatoka kwa Mungu!ninajua huyo mkeo anachopitia kwani hata mimi nilikaa muda mrefu sana kwenye ndoa bila kupata mtoto na manyanyaso niliyopata.mume wangu alitafuta wa kuzaa nae Kama wewe ulivyofanya!nilipata maumivu ya moyo zaidi ya nielezeavyo!kwa Mungu hakuna gumu! Leo nami naitwa mama japo madaktari walisha sema siwezi pata mtoto!mbaya zaidi mtoto aliyezaliwa nnje ana baba wa tatu na wote walikuwa wanahudumia toka mimba mpaka mtoto!wamekuja kugundua ktk Hao wa tatu hakuna baba hilisi baba halisi ni kakijana ka mtaani tu!pole na kuwa makini sana.Mpende mkeo
 
Kwanza umetenda dhambi mbele ya mungu hilo halikimbiliki. Lakini dhambi haifutwi Kwa dhambi inafutwa Kwa toba, na toba ya uwongo si toba ya kweli. Hivyo kwanza acha kuendeleza dhambi ya kutoka nje ya ndoa.

Pili, yaliyotokea yameshatokea na huwezi kutubu huku unadanganya kwa kumficha mtoto kisiri hivyo lazima umueleze mkeo. Sasa hapa wewe ndio wa kusuka au kunyoa. Kubali matokeo ya kumueleza mkeo. Good luck.
 
I wish ungenifahamu mama timmy,kuna wengine huku wamechangia na kuona kama nimeolewa.ila ukweli ni kwamba sikupanga kabisa kutoka nje.tatizo lako wewe unaona kama wanaume ni wakorofi,natamani ningekuelezea historia ya maisha yangu na mambo ambayo nayafanya kwa ajili yake lakini hakuna shukrani wala kujali,Mama jinsi unavyonifikiria sivyo nilivyo,mpaka muda mwingine nawaza kwanin hili limetokea kwangu???

ushauri wangu mlazisha mpaka mkapime mjue chanzo inawezekana tatizo karisababisha mwenyewe afuanakupotezea muda tumia uana ume wako
 
Mwambie mwende hospital, akikataa mwambie kama hutaki mie ntazaa nje uone ata react vipi, kuna wasichana wanapata matatizo ujanani yanawapelekea kutolewa kizazi, ila hawawaambii waume zao
 
Back
Top Bottom