*** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***
Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya uyaweka mambo hadharani, binti huyu alipata nafasi ya masomo kabla ya ndoa na kwenda nchi za watu na kwa bahati mbaya masailiano baana yetu yalikatika. Nilikuja kupata taarifa kuwa alirudi na nilifanya juhudi za kumtafuta bila mafanikio.
Mwaka jana nilipata msichana mwingine na tukakubaliana kufunga ndoa.Siku mmoja, mtarajiwa wangu mpya alikuja na album na kuanza kunionyesha picha za familia yake yote kama maandalizi ya awali ya ndoa. Nishtuka kukuta picha ya yule mchumba wangu wa zamani, na nilipojaribu kumuuliza huyu ni nani aliniambia kuwa ni mdogo wao wa mwisho wa mama yake mzazi!
Siku moja nikiwa nimetoka kazini, nilimkuta huyo mamaye mdogo nyumbani kwangu (ambaye alikuwa mpenzi wangu zamani) kaja kusalimia. Alijifanya hanifahamu nami pia nikampotezea ila baada ya kutoka hapo kwangu ameanza kunifuatilia kwa simu nivunje uhusiano na huyu mchumba wangu maana bado yeye ananipenda na kuendelea na huyu mwanae nitakuwa sijatenda haki kwa kutembea na mtu na mamaye mdogo, loh!
Wakuu naomba ushauri, nifanyaje, niachane na huyu binti? Maana huyu wa zamani sina upendo wa kumrudia na huyu wa sasa kuendelea naye nitakuwa nimetembea na mtu na ***** mdogo, jamii itanionaje? HP
*** Wakuu, nimepokea email to kwa Bwn Joachim wa Magu, Mwanza anaomba ushauri kwa kisa hiki ***
Miaka michache nyumba nilipata msichana ambaye tulipenda sana na kukubaliana kuoana. Kabla ya uyaweka mambo hadharani, binti huyu alipata nafasi ya masomo kabla ya ndoa na kwenda nchi za watu na kwa bahati mbaya masailiano baana yetu yalikatika. Nilikuja kupata taarifa kuwa alirudi na nilifanya juhudi za kumtafuta bila mafanikio.
Mwaka jana nilipata msichana mwingine na tukakubaliana kufunga ndoa.Siku mmoja, mtarajiwa wangu mpya alikuja na album na kuanza kunionyesha picha za familia yake yote kama maandalizi ya awali ya ndoa. Nishtuka kukuta picha ya yule mchumba wangu wa zamani, na nilipojaribu kumuuliza huyu ni nani aliniambia kuwa ni mdogo wao wa mwisho wa mama yake mzazi!
Siku moja nikiwa nimetoka kazini, nilimkuta huyo mamaye mdogo nyumbani kwangu (ambaye alikuwa mpenzi wangu zamani) kaja kusalimia. Alijifanya hanifahamu nami pia nikampotezea ila baada ya kutoka hapo kwangu ameanza kunifuatilia kwa simu nivunje uhusiano na huyu mchumba wangu maana bado yeye ananipenda na kuendelea na huyu mwanae nitakuwa sijatenda haki kwa kutembea na mtu na mamaye mdogo, loh!
Wakuu naomba ushauri, nifanyaje, niachane na huyu binti? Maana huyu wa zamani sina upendo wa kumrudia na huyu wa sasa kuendelea naye nitakuwa nimetembea na mtu na ***** mdogo, jamii itanionaje?
HP