LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,179
- 27,237
Nataka kufanya utalii wa ndani. Niende wapi kati ya Newala au Songea? Sijawahi kufikia Songea nasikia warembo wa Songea warefu halafu wana misambwanda kama ya ndugu zao wa South Africa.
Kuhusu Newala nataka utundu wa watoto wa kimakonde. Nimeshaonja wamakonde wawili lakini wamezaliwa mjini ila kusema ukweli walikuwa wanajiitaidi kwenye mambo yetu yale. Nataka niende shambani kwenyewe wanako patikana wamakonde.
Watu wa Newala na Songea. Nipeni route basi.