Nichukue laptop ipi kati ya hizi ?

124 Ali

JF-Expert Member
Apr 25, 2010
7,802
5,494
Nahitaji laptop yupo mtu anazo mbili Toshiba C50-B920 Black laptop P-N3520 / 4GB / 500GB / DVDRW / 15.6"/DOS na
Dell Inspiron 3542 laptop P-PCS 3558U/2GB/500GB/DVDW//WC/UBUNTU.

Mi haposijui ipi bora bei sawa kanipa ,wazoefu wa haya makitu msaad wenu niende ki dell au kitoshiba hapo?
 
Ingekuwa vizuri kama ungetoa bei na pia ungesema unataka laptop kwa matumizi gani ili iwe rahisi kukushauri.

Ila kama ni utatumia kwa ajili ya entertainment na vitu vidogo, chukua Dell Inspiron kisha unaweza ukabadilisha OS
 
hio toshiba ina processor ya pentium ambayo ni katika familia ya baytrail, ni latest lakini pia ni dhaifu, hio dell nayo pia ina pentium ya hasswell sema nayo ni dhaifu kuliko toshiba.

kama naambiwa nichague hizo mbili ningechagua toshibA ila zote mbili hazideserve bei yoyote kuanzia laki 5.
 
Pia naomba kuuliza ni aina gani ya pc ni imara Kwa matumizi km ya storage& connection yaani faster sana kukonect
 
hio toshiba ina processor ya pentium ambayo ni katika familia ya baytrail, ni latest lakini pia ni dhaifu, hio dell nayo pia ina pentium ya hasswell sema nayo ni dhaifu kuliko toshiba.

kama naambiwa nichague hizo mbili ningechagua toshibA ila zote mbili hazideserve bei yoyote kuanzia laki 5.
Chief Come again mshikaji kanidai 450$ a piece no wonder he gave a flat price to any of my preference!
 
Ingekuwa vizuri kama ungetoa bei na pia ungesema unataka laptop kwa matumizi gani ili iwe rahisi kukushauri.

Ila kama ni utatumia kwa ajili ya entertainment na vitu vidogo, chukua Dell Inspiron kisha unaweza ukabadilisha OS
Kwa matmizi ya kiofisi a tour company, kwa 900$ nahitaji laptop mbili kwa sasa nishalipia na siwezi ku cancel ni reliable supplier wangu wa muda mrefu na mambo mengi, issue ni zipi nichukue kwenye stock yake Toshi or Dell,nitahitaji zingine si muda mrefu kwa pesa hiyo Napata machine ipi bora!
 
Toshiba itakuwa nzuri kama zote bei hiyo
 
Chief Come again mshikaji kanidai 450$ a piece no wonder he gave a flat price to any of my preference!

kama huwezi kuvunja deal sawa chukua toshiba ila hio bei ni kubwa sana hasa ukiangalia moja ina dos na nyengine ubuntu inamaana zote hazijalipiwa windows zilitakiwa ziwe super cheap. vifaa vya baytrail hasa laptop zinarange dola 199 hadi 350 tena zikiwa na windows imeshalipiwa.

kwanini achague yeye laptop ya kukuletea why usitaje wewe aina unayotaka?
 
Huyu Jamaa ni mtaalam wa IT katka company moja ambao ni partner wangu kibiashara,one I casually mentioned that i'm looking for the items he hooked me with the guy,you know one of those deals u seal over coffee/beer!
 
Nahitaji laptop yupo mtu anazo mbili Toshiba C50-B920 Black laptop P-N3520 / 4GB / 500GB / DVDRW / 15.6"/DOS na
Dell Inspiron 3542 laptop P-PCS 3558U/2GB/500GB/DVDW//WC/UBUNTU.

Mi haposijui ipi bora bei sawa kanipa ,wazoefu wa haya makitu msaad wenu niende ki dell au kitoshiba hapo?

hiyo ya 4GB ram ujue only 2GB ni usable. nazijua mimi laptop hizo
 
Hakuna hata moja hapo nzur, specifications zinaonyesha zote za kichina, utatumia mwaka mmoj tu, ni inbox nikuelekez laptop refurbished utumie miaka kibao bei haizid lak ,5
 
Mkuu hebu nifahamishe kwa nini nitatumia kwa i year only then it break any specific weakness?
 
Nahitaji laptop yupo mtu anazo mbili Toshiba C50-B920 Black laptop P-N3520 / 4GB / 500GB / DVDRW / 15.6"/DOS na
Dell Inspiron 3542 laptop P-PCS 3558U/2GB/500GB/DVDW//WC/UBUNTU.

Mi haposijui ipi bora bei sawa kanipa ,wazoefu wa haya makitu msaad wenu niende ki dell au kitoshiba ?KWA JINA NAITWA DANFORD PIUS HAMISI NAKUSHAURI UCHUKUE DELL INSPIRON
 
Thanks guys for your help and I apologize for taking longer for mrejesho, actual took both judging on your opinions it looks like I am between rock and hard surface!
Hopping next time I will be more careful (na nitakutafuta kibiashara mdau uliye ni PM)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom