Nichagulieni MKE kati ya hawa wawili, Nawaomba sana...

Ogopa sana watu wanaoamini mambo ya ushirikina... atakuja akuwekee limbwata siku moja usijielewe unafanya nini
Yani nawaza sana sana hili jambo watu wa ushirikina mbeleni bora awe mwanaume mshirikina ila mwanamke lazima tu siku moja ataenda nishtaki kwa mganga.

Ndoa najua kuna kukoseana,siku nimemkosea na akaona nimemuonea nadhani kimbilio lake ni kwa mganga kunikomesha na Ukute kaniendea kwa mganga mzuri,naweza geuzwa ndondocha.
 
Kama umelijua hilo basi fanya maamuzi sahihi haraka iwezekanavyo
 
Wewe mwenyewe yupo ambae katika nafsi yako ushamchagua unachotaka hapa ni kuhalalishiwa chaguzi yako tu kwa mawazo ya wengine.

Ila kabla kuendelea na maamuzi yako zingatia makuzi ya mwanao. Hakuna maisha mazuri kama mtoto kulelewa na wazazi wote wawili kwa wakati mmoja.

Pia kumbuka mtu mshirikina ni wa kumuogopa kama ukoma. Mshirikina ataondosha baraka yako yote ya maisha.

Kama nilivyosema awali, ushafanya uchaguzi unachotaka hapa ni validation ya maamuzi yako hivyo kila la heri.
ni kweli nina chaguo ila unapoweka jambo wazi kwa watu wengi unaweza pewa mawazo ambayo hukua nayo ndio mana nikalileta hapa nione,maana kuna watu wazima humu wazazi wetu wenye upeo zaidi yangu na wenye experience mana mimi sio kwanza kupitia hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom