Niambie je na wewe katika kabila yako unashindwa kutamka vizuri maneno ya kiswahili?

Midavudavu

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
287
59
1. Masai-Maziwa-Masiwa, Andazi-Andasi
2. Makonde-Mtu-Ntu, Mke-Nke, Mlango-Nlango
3. Mhaya-Ng'ombe-Ngombe, Talking-Talkingi
4.
 
Mbeya; Vumilia- vumiria, Wachaga;cockroach- corocochi, Nchi- nnji; mchele- mshele. Dar es salaam- daslam. thermos-tarmos
 
Thithi ni baba na mama thao tulio hapa (Sisi ni baba na mama zao tulio hapa
 
We Midavudavu utakuwa mgogo,bisha ?
Kabila lako unasema kabila yako.
Mbuzi /ng'ombe wengi >> mbuzi / ng'ombe nyingi.
*Bakongo
ng'ombe>> ngombe.
* wapogoro
Abdallah >> amudala.
 
1. Masai-Maziwa-Masiwa, Andazi-Andasi
2. Makonde-Mtu-Ntu, Mke-Nke, Mlango-Nlango
3. Mhaya-Ng'ombe-Ngombe, Talking-Talkingi
4. Wachina: Election-erection
Hivi kuna uhusiano wowote baina ya Makonde na Wapemba? Kwani nao inapoanzia M+Consonant wanatamka N:
Ntoto, nchuzi, nkate, ntaimbo, nkarafuu

QUOTE=Patrickn;3542623]ugali- ukali, uji- uchi[/QUOTE]
Hii tamu sana
Mama Pauro, sitaki ukali, nataka uchi.
 
JESHI la polisi limekamata majambazi watano- chesi ra porisi rimeshika machitu matano(wakurya)
 
Back
Top Bottom