WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
- Thread starter
- #21
Katika survey moja, wanawake walisema wanalazimika kukataa ku... na waume zao kwa sababu waume wanakataa kutumia kinga ilhali wana nyumba ndogo.
Baadhi ya hao wanawake walienda mbali zaidi na kudai kuwa kwa vile nao ni binadamu wenye mahitaji kama walivyo wanaume, na kwa vile wanaume wanakataa kutumia kinga kwenye ndoa, basi nao hulazimika kutoka je ya ndoa.
Huko ni rahisi ku negotiate matumizi ya kondomu! Sasa kwanini wanandoa wasikubali kutumia kinga ili kuzuia cheating kwenye ndoa?