Ni yupi bora kati ya hawa?

Tafuteni kwanza TABIA NZURI NA MENGINE MTAONGEZEWA kwa hiyo: No 3 mwenye tabia nzuri mkuu
 
Mimi sifa zote hizo sizifagilii hata kidogo, bali nafagilia "mwenye upendo wa kweli" kwangu
 
Hakuna aliye bora maana mwanamke yeyote ni glass with stress maana juice iliyo ndani yake inauwezekano wakutonyweka tukihofia afya zetu maana ile crack huachia vipande vidogo vidogo vya chupa vinavyoweza kukatakata utumbo ukivimeza isitoshe wanawake ni kama hali ya hewa ya nchi hii wanabadilika muda wowote. Ila kama umependa we penda tu ila take ladies are thorn to men's heart.
 
Mtoa mada ungesema hivi:

1. Mwanamke anyejua kuvaa
2.Mwanamke anayejua kupika
3.Mwanamke anayejua sex.

Nadhani mada ingechamka kwelikweli! au vp
 
Back
Top Bottom