Ni wapi tunakosea sisi kama waafrika na kama watanzania kufikia maendeleo ya kweli na endelevu?

QALQAL MARTIN

Member
Jan 13, 2011
14
3
Nimekuwa najiuliza nini maana ya nchi zilizoendelea, na nini maana ya nchi zinazoendelea? ni wapi hasa tunakosea, wapi tuelekeze nguvu zetu kufikia maendeleo ya kweli? wewe km great thinkers ukipewa hii nchi utafanya nini kama kipaombele ya kwanza kufikia maendeleo ya kweli?....
 
Back
Top Bottom