Ni wapi nitapata mwanamke wa kuoa?

nashukuru sana kwa swali hili

1. Awe mchamungu
2. Awe na upendo kwa watu wote
3. Awe muwazi na mkweli
4. Awe na umri wa kuanzia miaka 25 hadi 28 (ila naweza kufikiria kubadilika ikiwa itakua ni tofauti kidogo na hapa)
5. Awe anafanya kazi (kujiajiri au kuajiriwa)
6. Elimu ya chuo
7. Ningependa zaidi akiwa anatokea mikoa ya pwani (znz, dar, tanga, morogoro, n.k hii pia inaweza kubadilika kulingana na atakayejitokeza)
8. Awe matured enough na kufikilia maendeleo ya familia yetu
9. Awe mzuri wa wastani, asiwe mnene, urefu wa wastani na mweupe ila sio wa mkorogo (natural color)
10. Asiwe aliwahi kuolewa au kutoa mimba
11. Other added advantage

hapo kwenye red fafanua,other added advantages unamaanisha nini? Limekuwa ni tangazo la kuomba kazi au ni nini
 
Back
Top Bottom