Ni wapi nitapata mtu wa kuniingiza katika uchawi?

mwamii

Member
Apr 3, 2023
13
57
Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza natafuta kikundi Cha watu/ mtu wanao jihusisha na uchawi wa kuwanga usiku ili niweze kujiunga na Mimi kuweza kufundishwa utalaam huo.

Lengo langu sio baya Ila nimeona ni tamaduni nzuri ya kiafrika itakayonifanya niweze ku experience maisha mengine ya kiroho na tamaduni.

Kwa yeyote alie tayari kwa kunikutanisha na mchawi au mtalaam wa Mambo hayo naomba anisaidie hakika nimevutiwa na kuwa mchawi.
 
Umenikumbusha miaka ya elfu 2 mwanzoni kuna.jamaa alienda kwa mtabiri mmoja maarufu;

Jamaa:.Ndugu mganga nataka.kujifunza utabiri.

Mganga :

1. Step ya kwanza: Haya vua shati
( jamaa akavua)

2. Step number 2: Vua suruali ( jamaa akavua)

3. Step number 3 vua boxer; jamaa akavua ( akabaki uchi wa mnyama/ kumbuka hapo wapo chumbani kilingeni kwa mganga usiku)

4. Step number 4 geuka( jamaa akageuka)

5. Step number 5 inama..

Jamaa akagoma akamwambia mganga " aaah aah aah! Unachotaka kunifanyia bwana mganga sio poa kabisa na sipo tayari kwa hilo bora huo utabiri niukose

Mganga akajibu: kijana wewe sasa hivi tayari umeshafuzu somo la utabiri. Wewe tayari ni mtabiri. Kuwa mtabiri maana yake ni kuwa na uwezo wa kutabiri kitu kitakacho fuatia..uwezo huo tayari unao. Inuka nenda kapige kazi kijana wangu baraka zangu zote unazo
 
Duh kuwa mchawi tena mkuu uanze kuroga watu Kwanini usiwe mganga ukatumia utaalamu kusaidia watu?
Waganga wengi ni wachawi Siku hizi na ndo maaana ukienda kutibiwa matatizo hayaishi anakutibu nusu au anakuekea kitu unapata nafuu unarudi Tena kwake
Afu Kuna waganga ukienda kutibiwa kama una maradhi wachawi wanawafata usiku wanapanda dau hauponi ng'oo yaani wanamuambia tuachie huyu Mtu wetu huyuu
 
Umenikumbusha miaka ya elfu 2 mwanzoni kuna.jamaa alienda kwa mtabiri mmoja maarufu;

Jamaa:.Ndugu mganga nataka.kujifunza utabiri.

Mganga :

1. Step ya kwanza: Haya vua shati
( jamaa akavua)

2. Step number 2: Vua suruali ( jamaa akavua)

3. Step number 3 vua boxer; jamaa akavua ( akabaki uchi wa mnyama/ kumbuka hapo wapo chumbani kilingeni kwa mganga usiku)

4. Step number 4 geuka( jamaa akageuka)

5. Step number 5 inama..

Jamaa akagoma akamwambia mganga " aaah aah aah! Unachotaka kunifanyia bwana mganga sio poa kabisa na sipo tayari kwa hilo bora huo utabiri niukose

Mganga akajibu: kijana wewe sasa hivi tayari umeshafuzu somo la utabiri. Wewe tayari ni mtabiri. Kuwa mtabiri maana yake ni kuwa na uwezo wa kutabiri kitu kitakacho fuatia..uwezo huo tayari unao. Inuka nenda kapige kazi kijana wangu baraka zangu zote unazo
Mganga Huyu Miyeyusho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waganga wengi ni wachawi Siku hizi na ndo maaana ukienda kutibiwa matatizo hayaishi anakutibu nusu au anakuekea kitu unapata nafuu unarudi Tena kwake
Afu Kuna waganga ukienda kutibiwa kama una maradhi wachawi wanawafata usiku wanapanda dau hauponi ng'oo yaani wanamuambia tuachie huyu Mtu wetu huyuu
Yeah wapo waganga wa aina hiyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom