Ni wapi nitapaata air compressor ya lita 50?

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Natafta air compressor ya angalau lita 50 inayotumia umeme..
Lengo ni kufanya kazi na pikipik na bajaji...ikipatikana popote sawa Ila ikiwa Arusha itapendeza zaidi..
Used au mpya...
Ila isiwe imechoka sana
 
Back
Top Bottom