Ni wapi kwa DSM wananunua computer mbovu au used?

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Ijumaa Kareem na Sabato njema!

Naomba kufahamishwa location kwa Dar wanaonunua computer mbovu au used!

Nina computer mbovu nataka niipunguze!
 
Nenda machinga complex kuanzia floor ya kwanza,mahakama ya computer,ni zaidi ya china na dubai
 
Huo ni mzunguko mrefu. Mimi nataka niiuze PC yote!
Kama shida siyo pesa. Weka ndani kama kumbukumbu. Itakusaidia sana maana hiyo Laptop mbovu wakikupa pesa basi haifiki 70,000. Hii pesa utaifanyia nini?
Kioo, Ram na hard disk unaweza kutumia kwa matumizi yako binafsi. Chukua Hard disk, nunulia kasha na cable yake, tumia kuhifadhia doc zako. Hard disk ya 320Gb ni kama 30k inategemea na maeneo. 500GB ni 60k inategemea maeneo.
 
Vipi kama ni nzima? Wapi kwa K/Koo naweza kuiuza?
 
Hapo ni kwamba ni kuhakikisha kuwa main computer parts zinafanya kazi ukiachana na mlango wa cd. kwa kuhakikisha hivyo unaweza ukaongeza thamani ya computer yako.
Additional but not recommended ni kwamba if inafanya kazi vizuri inunulie cover hapo ndani ya wiki ushavuta mkwanja
 
Back
Top Bottom