Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,398
- 2,990
Umeelewa nilichoandika? Unafahamu gharama za kilimo wewe au unaongea tu? Serikali iache ujinga. Hawaku subsidize bei za mbolea, mbegu na vitendea kazi halafu walete ujinga tukishavuna.
Hao tunawalipa tozo zao baada ya mateso yote halafu watupangie pa kuuza? Waachane na sisi tutafute masoko wenyewe.
Shida yako wewe nadhani hauko informed. Unadhani hili ni tishio la njaa tu kama matishio mengine yaliyotangulia. This is global. Hatakuwepo wa kukuletea chakula cha msaada hapa. Kila Serikali itakuwa inapambana kunusuru raia wake!
Yapo mataifa ambayo tayari yameshazuia export ya chakula.