PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 1,999
Wenye hekima wa zamani walisema msafiri akianza kuona njia aipitayo imekaa ndivyo sivyo sharti kuomba msaada kwa waliokwishapita ati!
Hivi karibuni Mimi Petcash was with mtu mmoja mahali fulani...Nikampa zawadi...akasema hapana, nikamwambia mara mbili na mara tatu zaidi...still hapana...Nikajisemea basi bibie. Leo kwa upembuzi wangu yakinifu nikagundua ilitakiwa nimsubiri mpaka aichukue. Na sasa inanigharimu.
Msinielewe vibaya I beg of you.. (Nina uzoefu wa kutosha tu na sitaki nataka) na hata nikaja na utaratibu huu; Nauliza mara mbili tu kama jibu hapana basi najua ni hapana. Ila ni mara chache utaratibu wangu umeonesha kuwa effective..
Kwa hiyo enyi wenye uzoefu wenu katika hili mnisaidie, nisome alama gani kugundua?
When is her No a No , when is her No a Wait for a Yes and when is her No a Yes?:A S-confused1: