Ni vita kati ya Jerry slaa dhidi ya wanyeviti wa mitaa na vijiji, amejikaanga mwenyewe

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Baadaa ya waziri slaa kukata Bomba la pesa la wenyeviti wa mitaa na vijiji nchi Zima Sasa mashambulizi makali yanaelekezwa kwake kuelekea uchaguzi wa serkali za mitaa na ule mkuu .

Sasa wamejiunga wakakusanyana chini ya Umoja wao na ikumbukwe Hawa ndio ngao ya CCM kuendelea kutawala ni wazi CCM itamtosa slaa na kubeba wanyeviti,slaa hawezi kuwa juu ya wanyeviti ambao hata serkali inawaogopa ikija ishu ya kutafuta kura .

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom