Ni vigezo gani huchukuliwa kuchagua Miss?

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,819
11,001
Hawa mamiss! Mfano miss Tanzania,miss World,je ni vigezo gani vya kuwapata hao?Na je kama mtu hana bikira naye anaitwa miss?
 
Sidhani kama wanafanyiwaga vipimo vya kuchekiwa ubikra ama la ila najua hawaruhusu aliekwisha zaa..
 
miss ni mwanamke ambaye hajazaa..
Kwa mamiss wa kwenye hayo mashindano umri pia huzingatiwa, mfano miss tz hatakiwi kuzidi miaka 24.
 
Back
Top Bottom