Ni upi wimbo wako wa siku?

Tram Almasi

JF-Expert Member
Feb 26, 2009
749
226
Habari ya Jumapili wakuu.

Huwa inatokea wimbo mmoja uka-stick kichwani mwako kwa siku nzima. Na huu wimbo unaupata kwa kusikiliza redio nyumbani,redio ya jirani,au unapopita ktk baa,kiosk au unapopanda daladala na bodaboda pia.

Wimbo ambao umestick ndani ya hii kichwa yangu jumapili ya leo ni ''Dami Duro'' by Davido,a Nigerian Artist. Sijui maneno mengine ya wimbo huu lakn umestick kichwani.

It is so funny eeh! OK,WAKUU, WHAT IS YOUR SONG OF THE DAY? NoT bad uki-share nasi mood inayoambatana na wimbo.

Mine is a happy moood. Tehe tehetehe!
 
Kigoooomaaa ale kigoma mama wee! Leka tutigite!.. Sijui wana maana gani but i love it na leo ndo uko kichwani!
 
To love you more-Celine Dion
...........I will be waiting for you, here inside my heart, i wanna be the one to love you more.........
......may i cant give you, every thing you need, let me be the one to love you moreeeeeeeeeeee...
Yaani umenikaa kichwani leo toka naamka.
 
Mirror wa lil wayne na bruno mars. Sikudhani kama lil wayne anaweza kutoa maneno ya busara kama haya naurudia zaidi ya mara nne

I see blood in ur eyes,I see pain in ur pride,I see myself

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Chemsha Bongo kwaya ya Mt. Cesilia Mikumi. Wimbo naupenda sana. Chemsha bongo kati ya Mungu na mali nani zaidi. Hasa pale kwenye mashairi wanapomkata albino mkono kwa kweli is touching song.
Mwingine ni Msifanye migumu mioyo yenu, kwaya ya Uvikanjo kutoka Njombe, hawa wandugu nao wanaimba vyema sana. Kama hujasikiliza tafuta dvd hizi ni bomba sana. Kwa kweli nikisikiliza hizi nyimbo nabarikiwa sana Roho yangu.
 
Back
Top Bottom