Ni kweli, Morriss anaweza kua na wake wengine ila mimi nimemzungzia Boris, sijadanganya.Unadanganya Morris waziri mkuu wa uingereza ana wake wawili,mke wa kwanza kazaa nae watoto watatu wakubwa kabisa...mke wa pili ndo kaoa juzi na amepata nae katoto kadogo unakokasemea
usiogope wala asikutishe mtu ni swala la muda tuMnatutesa kisaikolojia tuliochelewa kupata watoto, sio poa hata kidogo yani.
..unaweza kufa ghafla ..Kuna madhara kuchelewa kupata mtoto
Kwanza unaweza ukafa ghafla huna hata copy
Binafsi Nina miaka 27 nataka mwakan majira km haya niwe na first born asee
Relax maisha haya unafikiri yana formula mkuu ..basi tu ......ukianza kuwazawaza haya mambo ni kujipa pressure tu....relax ishi maisha yakoMnatutesa kisaikolojia tuliochelewa kupata watoto, sio poa hata kidogo yani.
ha ha noma sanaKwenye Utawala Wangu Hakuna Kupanga Uzazi
Ngojeni Hao Wengine.
Waziri Umesikia 😀😄😅😆😏🙄😣😣
JPM
Mnatutesa kisaikolojia tuliochelewa kupata watoto, sio poa hata kidogo yani.
Ndiyo Ukweli Wenyeweha ha noma sana
Nimesoma X2, asante sis darling...Brod darling haya mwambie Mungu nisamehe.
Aliyesema kuwa ukijifananisha na waliokuzidi vitu fulani hutoona jinsi ulivyobarikiwa au kui-appreciate baraka yako hakukosea. Hivi umeshawaza wanavyojisikia wale ambao hadi wanakufa uzeeni kwao hawakubarikiwa kupata watoto? Wale ambao walizaa mapema lakini leo hii wamezika watoto wote? Umewawazia wanaostruggle na infertility issues na hadi leo hawajabarikiwa kupata watoto?. Wangapi ambao wamevunja ndoa zao kisa kukosa watoto? Wangapi ambao wamekufa wakijifungua au wababa wamekufa wakawaacha wake zao wakiwa wajawazito? Regardless uliwapataje, na kwa wakati gani, em mshukuru Mungu. Huo unyonge wa nini, kuna raha kama kuitwa baba? Acha hizo brod darling, na wasalimie watoto wangu. Darling you are blessed
Hongera sana.Mtoto wangu wa kwanza nilimpata nikiwa 21 yrs old,dogo now ana 16 yrs old yuko form 4,kaenda hewani kunipita mimi,jamaa ni zaidi ya Mwanangu,ni rafiki yangu ninaemuamini kupita maelezo
Khaaaaaah lolMatukio kama usagaji na ushoga,unaweza fikiria bora watoto wabaki kiunoni.
Hongera sanaMtoto wangu wakwanza nilimpata nikiwa 20yrs NI wa kike....kwasasa yupo chuo ,2nd year!!!utafikiri n mdogo WANGU...sema TU sijaoa mama YAKE...NAJUA MUDA SI MREFU NITAANZA KUPATA RAHA YA KUITWA BABU...KUZAA MAPEMA RAHA
Same story to me. Tena mimi ilinitokea wakati ambapo jamaa yetu mmoja ambae tunatoka kijiji kimoja alifariki; so tukakusanyana washkaji kibao kwenda bush kumsindikiza mwenzetu. Shughuli ya mazishi ikamalizika, na kama kawaida watu wanafurahi kuwaona vijana wao... ikatokea tukawa tumeongozana na mama mzazi. Akaja mzee wa kwanza, akatusalimia then akauliza,"Vipi, kijana wako ameoa?" Mama akajibu huku anacheka,"Akuuuu!!! Muulizeni mwenyewe - si huyu hapa!" Nikabaki najichekesha chekesha tu. Akaja jirani yetu akasimulia kuhusu binti yake ambae tulisoma nae na saivi ana watoto watatu, wawili wanaishi pale kwa bibi yao; and strangely she was so happy kwamba binti yake amemwachia wajukuu wawili awalee. The fact is, unamuona mama wa watu kachoka, maisha yanamnyorosa - kiasi ambacho si sawa kuachiwa wajukuu awalee!! Kimoyo moyo I was like ...WTF!! Mwisho wa stori yake akaniuliza,"Sasa wewe kijana wetu unakwama wapi? Hatuoni unamletea mamaako hata kajukuu kamoja!". Haikuishia hapo, almost wazee 10 walikuja na stori hizo hizo.Hili la mtoto lishaanza kunitoa nje ya reli
Nina miaka 28 sasa na ni mtoto wa kwanza,tupo wa4,wa3 wa kiume mmoja wa mwisho ni wa kike
Juzi Tu hapa sikukuu ya pasaka rafiki yangu niliyesoma nae kuanzia la 1 Hadi form 4 kaenda home kijijini Kula sikukuu na familia yake
Jamaa ana mke na watoto wawili,jumatatu akaniaga naenda home kwenu kumsalimia mamaako,nikamwambia fresh mpe hi mama.
Jana juma5 akarudi DSM akanipigia simu jioni tuonane nikamjibu poa nikirudi job nitakucheki
Saa moja usiku nikamkuta home kwake akaanza kunisimulia yaliyojili kijijini,na leo nakutana na huu Uzi
Akasema,ndugu yangu nimepata malalamiko sn kutoka Kwa mamaako ananiuliza mbona rafiki yako simwelewi,watoto karibia wote mliocheza nae mmeoa na mna watoto,Mimi najisikia vibaya sn mpaka Leo sina hata mjukuu,sasa ukienda kamuulize kulikoni
Leo umekuja na familia Hadi nasikia Raha lakini mwenzio akipata likizo anakuja yeye Tu hata sijaskia mama nakuja kitambulisho mchumba na haonyeshi hizo dalili za kufanya hivyo
Niliposikia haya maneno nilikuwa wa baridi sn,kumbe kuhusu kutokuwa na mtoto jamii inaweza kukutazama tofauti sn,pia mzazi anajisikia vibaya pia anapoona mwanae unachelewa kumletea mjukuu
Niliwaza sn maana sioni dalili ya kuoa wala kuwa na familia maana akiki yangu ipo bize kukimbizana na ndoto
Yaani sioni dalili ya kumletea bi mkubwa mjukuu labda demu anitegeshee nimpe mimba
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hili la mtoto lishaanza kunitoa nje ya reli