MANAMBA
Senior Member
- Jan 16, 2011
- 169
- 16
Kila mara ninapoangalia runinga zetu katika baadhi ya vipindi vya mahojianao nakutana na watu walewale wamealikwa katika vituo na vipindi tofauti tofauti vya TV vya hapa nchini. Ingawa ni kweli wanatoa hoja nzuri kulingana na taaluma zao lakini ninachojiuliza ni je hatuna wataalam wengine katika masuala ya kijamii katika nchi yetu zaidi ya hao hao wawili watatu? (sitaji majina lakini wafuatiliaji mtakuwa mnawafahamu e.g jamaa wawili wa Udsm). Kwanini waandaaji wasitafute watu tofautitofauti?