Ni tamu lakini zinachakaza na kuzeesha sana

ulishawahi kuziona hizo za wacheza filamu wa bongo au? unafanya utafiti sasa mkuu (jokes)
siyo kuzeeka tu,hata papuchi inakuwa na sura chovu,utaelewa what i mean ukiangalia papuchi za wacheza filamu za ngono
 
Kwani kitaalamu sex ni mara ngapi kwa siku/week/mwezi?....Je ni baada ya muda gani mwanamke/mwanaume asipofany sex anawezakupata madhara? Ni madhara gani basi km yapo? NAHISI NAJZAJ BADO HAJAPATA KIDUME
 
Ukweli mtupu..kibintii cha miaka 20 ukikiangalia kimechakaa kuliko mama yake!!
 
Hahaha.. Sasa mbona Malaya wanajiuza kila siku sometime wanaonekana bado wazuri kabisa kwa muonekano hasa wale wa nchi za nje uko ulaya na sehemu nyingine kuliko hata nyinyi mnaosema hamfanyi mara kwa mara mnaonekana mmezeeka kila kitu kwa muonekano??? Labda uniambie kuchoka nini??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hizi imani ndiyo zinasosababisha wanawake wengine wakatae na kuwanyima unyumba waume zao. Haina tofauti na imani ya kunyonyesha na maziwa kulegea!

Ukweli wa kisayansi ni kwamba tendo la ndoa la mara kwa mara ni muhimu kwa afya ya mwili (at least 3x per week)!!
 
Mkuu na hapa upo.. Ila ulichoongea ni ukweli..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kwani hapa siyo nyumbani kwangu kaka?

Labda nikukaribishe wewe...

Babu DC!!

Retired Maj Gen DC (1947)!!

Ha ha ha.. Mkuu namaanisha upo katika uzi huu..!! Najua hapa MMU ni mwenyeji sana tena sana..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ha ha ha.. Mkuu namaanisha upo katika uzi huu..!! Najua hapa MMU ni mwenyeji sana tena sana..!!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Mbona unanishusha kaka?

Ulikuwa hujui kwamba hii ndiyo nyumba ya babu?

Unataka room ya kupanga?

Babu DC!!

Retired Maj Gen DC (1947)!
 
Back
Top Bottom