njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,665
Kiukweli naona hisia za team yake ya Yanga kuwa mguu ndani nje zimemchanganya sana, haswa ukichukulia Simba ilifanya vizuri ugenini.
Kauli alizozitoa jana ukitafakari unaona ni hasira tu, sasa ma hasira yake kuna mambo anataka alazimishe Simba
wafanye ku share mipango yao na Yanga, au kwa sababu Hersi alikuwepo pale hisia za majonzi zikawa nzito?
Sasa sikia ndugu Waziri, siyo lazima Simba ishirikiane na Yanga hata ukitushikia mapanga kama vipi kafute usajili wa Simba SC!
Tangu mwaka 1993 fainali ya CAF Second Leg Dar es Salaam dhidi ya Stella Abidjan magoli mawili ya Boli Zozo yanatinga wavuni na kuinyima Simba nafasi ya kuwa Bingwa wa Afrika waliimba "Uzalendo umetushinda umetushinda" na bila shaka hata wewe popote ulipokuwepo ulishangilia Simba kufungwa.
Ni mabingwa wa kamati za mapokezi na bila shaka tutaziona Simba ikianza kucheza makundi, Manara alikupopoa ukanyamaza kimya ingekuwa msemaji wa Simba kakupa makavu vile ungemuacha kweli?
NI SUALA LA MUDA TU KAULI ZAKO ZA KIBABE ZITAGONGANA NA TFF, NA FIFA WATATIA MGUU. YETU MACHO, BILA SHAKA UTAANZA NA SUALA LA KUTAKA TAKADINI AFUNGULIWE TUTAANDIKA E MAILS ZA KUTOSHA FIFA KUWAAMBIA.
HATUTAAAAKI KU SUPPORT YANGA FANYA UFANYAVYO SASA, AU HERSI ALIKUJA JANA HAPO KUPOKEA TEMBO WARRIORS KUJA KUBEMBELEZA SIMBA WAUNGE MKONO. HATUTAAKI SASA!