Ni sjhihi kuoana na mkiwa mnalingana umri

Anthony peter

Member
Feb 16, 2011
18
0
Wana jf hebu mnishauri kuna rafiki yangu wakike tunapenda sana kiasi kwamba moyo wangu umetua kwake cjamwambia lkn hana kipingamizi hata nikimwambi tatizo tunalingana umri je inaweza ikawa kikwazo?
 
Kwani tatizo ni nini? Mradi msiwe wote vijana sana yaani labda wote mna miaka 20 hivi maana mtasumbuana. Ndoa ina mitihani mingi mnaweza nkawa mnagombana mara kwa mara kwa kuwa hamjajua jinsi ya kujibizana, kukiri makosa na kusameheana. Kila mmoja atataka kuwa mshindi kila mnapokorofishana. Vinginevyo umri kulingana si tatizo. Mimi nawajua mke na mme ambao wote walizaliwa 1974 lakini wanaishi vizuri. Pia tanbua kuwa kuna ndoa ambazo mke ni mkubwa kuliko mme lakini maisha yanaenda.
 
Ugomvi utakuja pale mwanamke awe mrefu kuliko wewe mwanaume then aje azae halafu anenepe na asiwe na mpango wa kubalance mwili utaipata mdogo wangu!!! Utaonekana kama umeoa `sukari-mama` na usipoikubali hiyo hali ndoa hakuna tena!!!
 
Back
Top Bottom