Ni password au anatafuta sababu?

Cherish

New Member
Jan 18, 2012
3
0
Habar wapenz, jaman nina mpenzi tena tuna miaka 4,ambaye kwa wazaz wangu anafahamika na kwe2 pia anafahamika, umezuka ugomvi bila sababu eti anataka password za email yangu kwa nguvu kwa lazima, nimemwambia nikiamua nitampa,lakn kwake halielewek,imefikia wakat sasa ametamka kwa mdomo wake km cmpi paswrd hapigi cmu kwangu wala kupokea cmu yangu, na hv karibun kuna mwanamke ana uhusiano nae,.. Sasa ugomvi huu ni paswrd au sababu ya kuondokea? Na je pasword ni sabab ya msing kweli kugombana na m2,?
 
wewe mpatie pasword kwakua ndo alichotamka hayo mengine si hajakwambia kwa kauli yake?.then check atataka nini tena.
 
......Kama anataka password yako, nawewe muombe yake. Hapo ugomvi kwishney!! Ila kama hujiamini kwenye email yako una utani utani na vijana wengine basi we komalia kwamba hutaki. Kama hapigi simu na wewe chuna usimpigie.
 
password ya mtu ni issue binafsi... waweza kumpa ukitaka but asilazimishe; probably amenusa harufu ya cheating on your side, ingawa hata hiyo haimpi haki ya kupewa hicho anachodai
 
Inawezekana kahisi kitu. Kama unavimeo vyako kule chuna.
 
Habar wapenz, jaman nina mpenzi tena tuna miaka 4,ambaye kwa wazaz wangu anafahamika na kwe2 pia anafahamika, umezuka ugomvi bila sababu eti anataka password za email yangu kwa nguvu kwa lazima, nimemwambia nikiamua nitampa,lakn kwake halielewek,imefikia wakat sasa ametamka kwa mdomo wake km cmpi paswrd hapigi cmu kwangu wala kupokea cmu yangu, na hv karibun kuna mwanamke ana uhusiano nae,.. Sasa ugomvi huu ni paswrd au sababu ya kuondokea? Na je pasword ni sabab ya msing kweli kugombana na m2,?
[h=3]
icon1.png
Magwiji mmu na multi-id's[/h]Started by mitishamba‎, Today 08:52
 
... Sasa ugomvi huu ni paswrd au sababu ya kuondokea? Na je pasword ni sabab ya msing kweli kugombana na m2,?
Yote yanawezekana! Je wewe una password yake yoyote? Kwani unahisi ukimpa password yako ni nini kitatokea?
 
Hapo kwenye red chini
Unauliza makofi polisi??
Naona unataka kufanya bishara ya kuuza bangi mahakamani

Habar wapenz, jaman nina mpenzi tena tuna miaka 4,ambaye kwa wazaz wangu anafahamika na kwe2 pia anafahamika, umezuka ugomvi bila sababu eti anataka password za email yangu kwa nguvu kwa lazima, nimemwambia nikiamua nitampa,lakn kwake halielewek,imefikia wakat sasa ametamka kwa mdomo wake km cmpi paswrd hapigi cmu kwangu wala kupokea cmu yangu, na hv karibun kuna mwanamke ana uhusiano nae,.. Sasa ugomvi huu ni paswrd au sababu ya kuondokea? Na je pasword ni sabab ya msing kweli kugombana na m2,?
 
Habar wapenz, jaman nina mpenzi tena tuna miaka 4,ambaye kwa wazaz wangu anafahamika na kwe2 pia anafahamika, umezuka ugomvi bila sababu eti anataka password za email yangu kwa nguvu kwa lazima, nimemwambia nikiamua nitampa,lakn kwake halielewek,imefikia wakat sasa ametamka kwa mdomo wake km cmpi paswrd hapigi cmu kwangu wala kupokea cmu yangu, na hv karibun kuna mwanamke ana uhusiano nae,.. Sasa ugomvi huu ni paswrd au sababu ya kuondokea? Na je pasword ni sabab ya msing kweli kugombana na m2,?
mpaka hapo tayari jibu limeshafahamika.....
 
Password mana yake ni siri yako tu....sasa huyo hakufai ni si msatarabu mana anaomba kitu kwa nguvu na si chake.
 
Zangu hiz hapa:
  1. Jf pasiwedi
  2. Email PasiWedi
  3. Fesibuku Paasiwedi
  4. Twita pasiWedi
  5. n,k pasiweedi

BTW: Uhusiano kuvunjika ni series ya mambo....sio sababu moja (tena ya password)
 
Pole sana kwa kuwa na mwanaume mbabe kiasi hiko,
Najua kupewa sio tatatizo,tatizo ni namna ya huo uombaji jaman!
Angekua japo ameomba kistarabu,najua wala usingekuja kulalamika huku ungempa ila huo ubabe ndio ishu,
Ila km huna vimeo mpe na km anatafuta sababu na akakuta upo poa kwenye email zako litamshuka,

Kwa mfano mie kuna wakati nilihisi Salvado wangu anawasiwasi na watu ninaowasiliana nao nikaamua kumpa password yangu bila ya yy kuniomba naye akanipa yake na ni kwa vile najua hakuna kimeo,ila kwa namna mie nisivotaka masress sijawahi kufungua email yake hata siku moja na sitaki japo mwenyewe hajui,

Na hii ni kwa 7bu najua akiamua anaweza tengeneza email adress nyingine na akaendelea kuchati na yoyote atakaye bila mm kujua au hata mm nikawa na email nyingine na asijue,so km vp mpe tu hiyo password yaishe.
 
Back
Top Bottom