Ni nini tofauti ya Mwanausalama na Askari wa Upelelezi?

lee Vladimir cleef

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
9,154
33,367
Swali langu siulizi kwa mazingira ya Tanzania tu, bali linaweza kuwa hata kwa nchi zingine.

Kuna tofauti gani, kimafunzo, kimbinu na kimajukumu kati ya Maafisa Usalama wa Taifa (IOs) kwa nchi yeyote na Maafisa upelelezi wa Polisi(CID kwa nchi yeyote. Kwa sababu mie huwa naona kama wote wako sawa tu ila ofisi tofauti.

Naona kama kazi zao zinafanana.Tofauti zao ni zipi,zipo ama hazipo.Unaweza kunijibu kwa kutumia hata mifano ya nchi nyingine.

Tanzania kuna Usalama wa taifa,kuna Polisi CID nini tofauti, kikazi, mafunzo, mbinu na majukumu au hakuna.

UK kuna MI6,Scotland Yard n.k.

Naomba kuelimishwa kama haitaathiri miiko ya kazi.
 
mkuu, kulingana na uelewa wangu mdogo sana katika masuala haya ya kiusalama:
*** intelligence officer (chini ya CIA), anahusika na ukusanyaji wa taarifa za kiusalama (hususan nje ya nchi) zitakazowezesha kuzuiwa kwa matukio ya kihalifu na yenye kuhatarisha usalama wa taifa.
*** askari mpelelezi (chini ya FBI), huyu anahusika na ukusanyaji wa taarifa za kiusalama (ndani ya nvhi) baada ya kutokea kwa tukio la kihalifu, ili kusaidia kukamtwa kwa wahusika na sheria kuchukua mkondo wake.
*** ila intelligence officer (idara ya CIA) na askari mpelelezi (idara ya FBI) wanafanya kazi zao kwa ushirikiano wa hali ya juu sana (na wote ni wanausalama) kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa raia wa kawaida kuweza kutofautisha mipaka ya majukumu yao, na wote lengo lao likiwa ni kuhakikisha nchi inakuwa tulivu na salama siku zote.
I stand to be corrected
 
CID huyu /hawa mara nyingi huhusika /hujikita zaidi na ukusanyaji wa taarifa za uhalifu unaohusu raia na mali zake. Pia ktk uendeshaji wa shughuli zinazohusiana na majukumu ya Jeshi la Polisi. Ni kweli hawa CID hushirikiana kwa karibu na idara ya Usalama wa Taifa kwa maana ya ku react na kuzuia viashiria vya uhalifu unaogusa maslahi ya Taifa baada ya kupewa taarifa na idara ya Usalama wa Taifa. Mfano TISS wanaweza kudetect hatari flan na wao wakatoa taarifa kwa wahusika then Jeshi hutumwa kwenda kuencounter Ile danger iwapo ni ya level ya chini. Tis wao hukusanya, huchambua na kuoanisha taarifa mbalimbali za kiusalama katika nyanja mbalimbali mfano kiuchumi n. k na baadae taarifa zile hupimwa kwa uzito na uharaka wake kabla ya ku react kuhakikisha kuwa jambo flan halitokei, na ktk hatua hii hushirikiana na vyombo mbalimbali vya ulinzi na Usalama. Hayo nadhani kwa uchache utakuwa umepata mwanga japo kiduchu tu Mkuu. I stand to be corrected.
 
Ahsante kwa maelezo Mkuu, ila umejishusha saana mpaka inakuwa haina maana ya kujishusha.
 
Ahsante nimejifunza kitu
 
Good piece of writing mkuu!!!!!
 
Swali langu siulizi kwa mazingira ya Tanzania tu, bali linaweza kuwa hata kwa nchi zingine.

Kuna tofauti gani, kimafunzo, kimbinu na kimajukumu kati ya Maafisa Usalama wa Taifa (IOs) kwa nchi yeyote na Maafisa upelelezi wa Polisi(CID kwa nchi yeyote. Kwa sababu mie huwa naona kama wote wako sawa tu ila ofisi tofauti.

Naona kama kazi zao zinafanana.Tofauti zao ni zipi,zipo ama hazipo.Unaweza kunijibu kwa kutumia hata mifano ya nchi nyingine.

Tanzania kuna Usalama wa taifa,kuna Polisi CID nini tofauti, kikazi, mafunzo, mbinu na majukumu au hakuna.

UK kuna MI6,Scotland Yard n.k.

Naomba kuelimishwa kama haitaathiri miiko ya kazi.
Kulingana na uelewa wangu, Intelligence officers (I.O) wao huwa ni marufuku kujitambulisha kwa watu wala kubeba silaha yoyote ile ya moto wawapo kazini (they operate under shadows). Silaha kubwa na number moja kwa I.O ni ubongo na akili yake tu, tofauti kabisa na police detectives (wapelezi wa police) whose vice-versa is true, but they all plain-clothed, na wao (I.O) wanakusanya taarifa kupitia mitandao ya informers (watoa taarifa) aidha wa kujitolea (volunteers) ama wakununuliwa kwa pesa (bribed informers) ama wa kulazimishwa kwa nguvu na vitisho (coerced informers).

Kwenye issue nzima ya mafunzo, detectives wao ni police officers hivyo tayari hawa jamaa wanamafunzo ya kipolice pamoja na mafunzo ya ziada ya kipepelezi.

Intelligence officer, huyu ni jasusi, na huwa na mafunzo ya kipekee sana na vyuo vyao huwa havijulikani vipo wapi (wengi wanadai ni mbweni kwa TISS, ila hakuna anayeweza kukupa proof ya hilo) na wala utaratibu wao wa kuchagua potential candidates umekaa vipi. Mengi unayosikia kwa watu huwa ni tetesi tu za vijiweni. Jausi hufundishwa mbinu mbalimbali za kukusanya taarifa kulingana na mazingira aliyopo ikiwa ni pamoja na avae vipi, aongee kwa namna gani, atembee kwa style ipi na suala zima la muonekano kwa ujumla, all in all the main purpose being making a fool out of a target na kupata taarifa sahii na kwa ukamilifu wake kisha anaondoka pasipo kujulikana wala kuacha fingerprints zake.

mkuu, mada kama hizi huwa ni ndefu sana kuzielezea.
 
mkuu, mada kama hizi huwa ni ndefu sana kuzielezea aisee.........

smart people (detectives) solve problems, geniuses (intelligence officers) prevent them!!!!!!

Ahsante Mkuu, hapo umenielewesha vizuuri kabisa.
 
mkuu, kulingana na uelewa wangu mdogo sana katika masuala haya ya kiusalama:
*** intelligence officer (chini ya CIA), anahusika na ukusanyaji wa taarifa za kiusalama (hususan nje ya nchi) zitakazowezesha kuzuiwa kwa matukio ya kihalifu na yenye kuhatarisha usalama wa taifa.
*** askari mpelelezi (chini ya FBI), huyu anahusika na ukusanyaji wa taarifa za kiusalama (ndani ya nvhi) baada ya kutokea kwa tukio la kihalifu, ili kusaidia kukamtwa kwa wahusika na sheria kuchukua mkondo wake.
*** ila intelligence officer (idara ya CIA) na askari mpelelezi (idara ya FBI) wanafanya kazi zao kwa ushirikiano wa hali ya juu sana (na wote ni wanausalama) kiasi kwamba inakuwa ngumu kwa raia wa kawaida kuweza kutofautisha mipaka ya majukumu yao, na wote lengo lao likiwa ni kuhakikisha nchi inakuwa tulivu na salama siku zote.
I stand to be corrected
Uko sahihi Mkuu
 
Back
Top Bottom