Ni Nini Hiki....??? (Quiz Just for FUN)

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,194
1,355
Shalom!!!!..., Shukrani kwa Chit-Chat kwa kunipa uwezo wa kupost chochote... (Hopefully na huku BAN haipatikani....)

Kuna hii Quiz Nimeona I have decided to share........

Nyerere analo refu kushinda mwinyi....,
Sisi (wanaume) tunalo lakini tunawapa wake zetu,
Pope (Mkuu wa Roman Catholic) analo lakini halitumii,
Ni nini Hilo....

Ni Rahisi Sana nina Uhakika Jibu la kwanza litakuwa jibu....

Thanks..... Long Live Chit Chat
 
naomba zawadi yangu basi.
si nimekupa like na thanks..., ingawa ninayo mengi na mengine am sure huwezi kuyajibu

This was soo funny yaani kuna mdau alitoa shule primary yaani wanafunzi wote tukawa tunaona labda jamaa amechanganyikiwa au anataka kufukuzwa shule na mwalimu alibadilika sura ghafla lakini wote tuliposikia jibu tukashukuru kwamba mwenzetu hatujampoteza
 
bora utoe lingine hayo majibu ni dhahiri wamewahi sikia tayari mana jibu halina kabisa mantiki sasa pope analo alafu hatumi ndio mambo gani hayo.
 
si nimekupa like na thanks..., ingawa ninayo mengi na mengine am sure huwezi kuyajibu This was soo funny yaani kuna mdau alitoa shule primary yaani wanafunzi wote tukawa tunaona labda jamaa amechanganyikiwa au anataka kufukuzwa shule na mwalimu alibadilika sura ghafla lakini wote tuliposikia jibu tukashukuru kwamba mwenzetu hatujampoteza
hebu yaseme hayo mengine, hapa kila kitu kinajibiwa. Lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom