Ni ngumu kumwacha/Kumsahau mwanamke anaekupa Papuchi kila mara unapoitaka

Sigara Kali

JF-Expert Member
May 28, 2017
3,623
8,428
Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kautafiti kadogo toka mwaka Jana kupitia mademu zangu tofauti tofauti na karibia wote warembo

Ila mpaka sasa nimebaki na wawili tu na hawa wamekua wakinipa papuchi muda wowote ninaotaka

Hawa hata kuwapa hela sioni tabu kabisa kwa sababu hawaninyimi utamu wao

Wengi nimewaacha sababu ya kunipangia muda wa kunipa papuchi na kujifanya wako busy

Demu akininyima papuchi kwangu hana thamani na namsahau haraka sana .

Ila akiwa ananisogezea papuchi kila wakati nakuwa ngumu kumsahau hata nikipanga kumwacha najikuta automatically nashindwa .
 
Si uwaoe ili uwafaidi vizuri! Kijana unajifanya unagegeda kuoa hutaki
 
Napendaga wadada wazuri ila shida yao kunipangia ratiba! Mwingine mwisho viwili! Hii inanikera sana basi tu nakuwaga mpole!
Mkuu hapa pamenifanya niache watoto wa kike wengi.

Unakula papuchi kwa masharti mengi mpaka hata raha na Tamu ya papuchi huioni,

Mwingine anakuachia mpaka basi, unakula kwa Tani yako.

Hata asipoomba hela unajikuta unatoa za kutosha na kumpa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli, wengine wanasahau kuringa mwisho wake wapi, hawajui wakishaingia kwenye uhusiano kuringa haitakiwi, hasa kwenye kufanya matusi, ndio maana ma sugar mamy wanawazidi maana wengi wanajua nini wanatakiwa kutoa au kufanya wawapo na wapenzi wao.

Alexander The Great
 
Kama mada inavyojieleza

Nimefanya kautafiti kadogo toka mwaka Jana kupitia mademu zangu tofauti tofauti na karibia wote warembo

Ila mpaka sasa nimebaki na wawili tu na hawa wamekua wakinipa papuchi muda wowote ninaotaka

Hawa hata kuwapa hela sioni tabu kabisa kwa sababu hawaninyimi utamu wao

Wengi nimewaacha sababu ya kunipangia muda wa kunipa papuchi na kujifanya wako busy

Demu akininyima papuchi kwangu hana thamani na namsahau haraka sana .

Ila akiwa ananisogezea papuchi kila wakati nakuwa ngumu kumsahau hata nikipanga kumwacha najikuta automatically nashindwa .
Tunafanana mkuu! Yaani mimi mwanamke anaenipa utamu hata akipata shida napambana kweli kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom