Chilisosi
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,051
- 747
Somalia, ni mwanachama wa hiyo OIC je wamesaidiwa nini?Nchi yenu si mnashabikia kuto kujiunga na OIC sasa haya maswali ya nini?
Hawa waarabu wao husaidia tende na ubwabwa pia hujenga misikiti kando kando mwa barabara kuu na kusapoti ugaidi.