Ni nchi gani inayoitwa tanzania bara ????

mbosia

Senior Member
Jul 17, 2011
123
36
Nimekuwa nikisikia,nikiona na kusoma ktk vyombo mbali x 2 vya habari vile vya UMMA na vya binafsi wanasema tunasherehekea/kuadhimisha MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA BARA. Ninavyofahamu TANGANYIKA ndiyo iliyopata uhuru 9 desemba 1961 na baadaye maka 1964 ikaungana na ZANZIBAR kwa pamoja zikaunda TANZANIA . sasa hiyo tz bara inayotimiza miaka hamsini ya uhuru wake. wakuu wana JF nisaidieni kunijuza
 
Back
Top Bottom