donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
wadau habar yenu bhana. Ebana mie kama mdau wa mziki huwa na guswa sana na hii style ya uchezaj mzik aina ya viduku,ningependa kufaham historia yake ilipotokea na ni nan alieileta hapa bongo
Muasisi wake Mzee Yusuph