ni nani hawa??

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,466
9,028
wakuu, naomba mnisaidie kuwajua hawa na ni wapi walikuwa na kwa ajili ya nini? picha.jpg
 
Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
 
the next president mheshimiwa wassira akifanya mazoezi ya kukagua gwaride
 
Ndiyo maana mtu anapoanguka kwenye kura za maoni anapata stroke.Uheshiwa mzuri unapata heshima ya marehemu:A S thumbs_up::behindsofa::whoo:
 
Ni Mh. Stephen Wassira na Haruna Masebu wameenda kutembelea watoto wao shuleni mojawapo ya nchi kusini mwa Bara Africa...
naye kwani yupo na akina Zitto kwenye hizo mbio za kuelekea Chamwino (serikali inahamia Dodoma)?
Na je ilikuwa ni tukio la nini hasa?
 
Back
Top Bottom