Ni nani atakayemwambia ukweli Ali Kiba?

Hayo mawazo yako acha kujumlisha na wengine...
#mwambie sina...wakutamba nae
...............................wakuringa nae...
 
Kwani una mkataba naye? Yanini kujisumbua na mtu ambaye unaona hana unachokitaka wewe?

Wasanii wapo kibao tu. Tena wanaimba kuzidi hao watu wenu. Lakini hatuoni support zenu. Mmekalia kupenda mashow off ya watu ndo mnaita wanajua.

Ali kiba hafanyi show off kama mnavyopenda nyie.
Tatizo lako ni kuwa ulitaka uone show off za kiba ili ufananishe na show off za domo
eti hapend show off... Ndo mlichobakisha hcho
 
Mashabiki maandazi ndio wanaompoteza bora wewe shabiki wa ukweli umeona jamaa jinsi anavyofuka kwenye GAME,tukisema sisi tunaambiwa ni HATER wakati sisi ni wadau wa mziki tunapenda mziki mzuri,tunapenda mziki wetu ufike mbali,sasa tukiendekeza hawa "WACK EMCs wakubebwa bebwa na media na matimu mavi tunaua GAME,kifupi KIBA kashafika end of the road Game imemshinda bora abaki kuwa mshabiki tu.
 
Tafuta pesa kijana, acha kujisumbua na mtu ambaye tayari ameshatengeneza maisha yake kupitia mziki huu.

Kiba kashafanya kila kitu, miaka zaidi ya 15 kwenye game. Kwa sasa nadhani anakula mafao yake taratibu.

Tatizo mambo ya uteam ndiyo yanayowachanganya sana. Kama Kiba anakuzingua, wapo wasanii kibao wanafanya vizuri, washabikie hao!
 
Chukua Pepsi nakuja kulipa
 
Kwa hiyo wewe ulivyocomment hapa imekuzuia kutafuta pesa? Hivi kutafuta pesa kunamzuia mtu kuingia jf na kuanzisha Uzi?
 
You are so concerned with business which is not yours. Kufanikiwa na kutokufanikiwa kwake kuna impact ya moja kwa moja na maisha yako binafsi? Kutafuta pesa ni phrase niliyotumia kumaanisha " mind your business"
 
Well said!
Mashabiki wa Ali Kiba tunajiuliza ni nani atakayejitolea amfuate Ali Kiba akamwambie ukweli? Ni nani aliyetayari? Tumtume nani akamwambie ukweli Ali Kiba?

Mashabiki wake tupo katika mtanziko juu ya nani atamfunga paka kengele? Siyo kwamba hatuna midomo wala sauti ya kwenda kumwambilia bali ni hofu ya kwenda kupuzwa na kudharaulika. Ni nani aliyetayari kwenda kupuuzwa na kudharauliwa pale atakapopanua mdomo wake kumwambia ukweli Ali Kiba? Nani?

Jamaa kiburi kimemjaa pamoja na dharau kifupi ana "talent arrogance". Ameaminishwa ana sauti nzuri nchi nzima akaamini, ameaminishwa kuwa mashabiki wanampenda sana kuliko msanii yeyote akaamini, ameaminishwa ndiye msanii mwenye kipaji nchini akaamini. Amepanda cheo ametukalia juu ya mabega anaruka sarakasi bila kujali mashabiki tunaumia.

Anatumia sifa kibao tulizompatia kutudengulia, nyimbo anatoa akijisikia pengine kwa mwaka mara moja pale asikiapo kuna fiesta imekaribia au imeanza.

Hata anavyohojiwa anavyojibu ukimsikiliza utayaona dhahiri majivuno yake na kujisikia. Ni mara chache utamsikia akishukuru mashabiki wake ni kama msanii asiyejali hisia za mashabiki.

Juzi ameachia wimbo wa " Hela" mashabiki tukajitolea kumwambia ukweli akaiondosha YouTube kuepuka maneno makali leo ameirudisha anasema hakuiondoa eti amehujumiwa? hii maana yake nini?
Maana yake hajali maoni ya watu kuwa ni wimbo mbaya anataka kufuta idea kuwa ameiondoa baada ya mashabiki kulalamika na hofu ya wimbo kudoda?

Ali Kiba amekuja na timu ya vijana ambao kwa kuwaangalia tu vipaji vyao ni vya kuvuta na kamba anaita lebo? Amewatoa wapi hao vijana na kwa vigezo gani? Wana vipaji au kipaji pekee ni kuiga sauti ya kiba kama walivyofanya kwenye huu wimbo wao mpya wa "mwambie sina"?.

Kamleta Abdul Kiba kwa kipaji kipi au undugulizasheni? Yaleyale ya diamond na kina Romy Jones?

Ali Kiba siyo kwamba haambiwi bali haambiliki, hata management yake ameiweka kiganjani haisikilizi kwa lolote.
Mashabiki tunajiuliza tumtume nani atakayesikilizwa? Tumtume nani ambaye hatabezwa na kupuuzwa? Nani mwenye kibali machoni pa Kiba aende akamwambie Ali Kiba kuwa asijione amefika safari bado na anatuhitaji mashabiki kuliko tunavyomhitaji. Nani akamwambie Ali Kiba awe serious japo kidogo, amwambie muziki ni ushindani na ushindani siyo dhambi? Nani akamwambie Ali Kiba kuwa siku tukimpa kisogo atapata tabu sana, nani akamwambie siku tukimpa mgongo hatutarudi tena kutakuwa hakuna namna bali kuungana na akina Q chillah ambao kila wimbo wakitoa unadoda, kuungana na akina belle 9 na Z. Anto nani tumtume?
Tumtume nani?
 
Anadharau sana Alikiba,hapendi kuwa karibu na watu alafu kazi zake mbovu mbovu, interview zake anaonekana ni mtu wa kupenda beef za kijinga na sio amani kifupi anakera.
 
Mashabiki maandazi ndio wanaompoteza bora wewe shabiki wa ukweli umeona jamaa jinsi anavyofuka kwenye GAME,tukisema sisi tunaambiwa ni HATER wakati sisi ni wadau wa mziki tunapenda mziki mzuri,tunapenda mziki wetu ufike mbali,sasa tukiendekeza hawa "WACK EMCs wakubebwa bebwa na media na matimu mavi tunaua GAME,kifupi KIBA kashafika end of the road Game imemshinda bora abaki kuwa mshabiki tu.
Huyu ni Mr nice wa pili aende zake akapumzike anakuja kufarakanisha wasanii wachanga kwa makundi ya kijinga kazi yake. .....Yooh,......Yooh, ...Papriiiii papriiiiiiii sijui ndio vitu gani
 
kuna msanii anaitwa Bright kama sikosei...huyu angekuwa anajielewa huu ndio wakati wa kulala nao mbele hawa fukus..ila kibongo bongo fiesta ikiisha kwisha habar yake
 
Mimi apa. Mnichangie pesa ya msosi hotel na chonyio nyio nyioo.
 
Mwacheni na maisha yake.Muzik ni kazi tu kama zingine na sio lazima wewe uwe shabiki wake.Kuna tofauti kubwa kati ya mziki wa msanii na maisha ya msanii.sasa sisi kama mashabiki tushughulike na mziki nakama katoa nyimbo unayoiona wewe huipendi jua kuna wengine wataipenda.Machagui ni mengi duniani.
 
You are so concerned with business which is not yours. Kufanikiwa na kutokufanikiwa kwake kuna impact ya moja kwa moja na maisha yako binafsi? Kutafuta pesa ni phrase niliyotumia kumaanisha " mind your business"
Wewe jamaa sikutukani ila akili zako zimekaa tenge haki nakuambia. Hebu itafakari akili yako uone kama imetengamaa. By the way ngoja nikusaidie rational thinking kuhusu kauli yako ya "mind your business", hivi unafikiri kila mtu akimind business zake hili jukwaa la celebrities litakuwa na uzi hata mmoja?Hivi unajua hili ni jukwaa kwa ajili ya celebrities na hakuna celebrities anayeweza kuja kujipost humu isipokuwa sisi ndiyo tunawapost sasa ukisema tumind our businesses unataka tulifunge hili jukwaa au?

Are you reasonable enough? Do you use your common sense before typing?

Najaribu kukufundisha tu jinsi ya kufikiri kama mtu mwenye akili timamu.

Mimi siwezi kumpost msanii kwenye page zangu za insta, fb, twitter au WhatsApp huwa napost maisha yangu. Lakini inapokuja kwenye jukwaa la celebrities sina namna lazima nipost wasanii na mastaa, hili ni jukwaa la celebrities na maisha yao kwa hiyo ukiona mtu anazungumziwa kwa uzuri au kwa ubaya we jua ni celebrity na hapa ni mahali pake. Kwa hiyo ukisema ni mind my own business unataka hili jukwaa lisiwe na threads maana ni jukwaa linalohusu mastaa na hakuna staa atakayekuja kujipost hapa. Jamaa hebu kaa chini jipime akili yako kama imetengamaa otherwise nenda kwenye jukwaa la siasa au elimu kule utadiscuss issues.

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza kucomment kama wewe kwenye hili jukwaa wote mnaokomment sijui "mind your business" ni hamjielewi na hamjui implications za kauli zenu kwa ustawi wa jukwaa. Kiufupi nyie ndiyo mnarudisha nyuma maendeleo ya jukwaa mnafanya watu waogope kuanzisha nyuzi wakamind their own business na wakifanya hivyo, mtaacha kuja hapa maana kinachowavuta na hizo nyuzi mnazoona kama za wasio na shughuli.
 
Back
Top Bottom