Ni nani aliyekutuma kuoa mwanamke flat screen?

Mhhh,,,,,!!!! Hapa napata picha kumbe mamiss huwa ni fasionshow tu ndan yupo namba nane teh teh teh kaz kwelkwel.
 
Hebu muulize naye mwanaume yukoje au ni ile style ya Funcargo au Noah!Yeye yuko na Nkewe kamuoa bado anajipitisha nae rodini huku katega misikio eti wanaume wanamsemaje nkewe!Mbona hazungumzii yeye anavyojadiliwa.

Unaweza kuta anaitwa yeye alafu.anadhani mkewe.. mtoa mada na we upoje uu mrembo au?
 
Wengine wake zetu wachaga..na kama ujuavyo wachaga wote wanawake wamepigwa pasii..na vile hawajui kukata mauno..basi ukimgegeda kama unagegeda mdoli vile
 
Mimi ndio nakereka kabisa ukienda nae maeneo yenye mjinga utasikia oyaaaaa oyaaaaa mimi kwa kuwakomoa ndio natupia hapo mkono alafu traaaatiiiibuuuu naanza kuperuzi
 
bora ata maaana nilishakata tamaa

Ondoa wasi wasi bhana. Kumbuka kuwa kila mwanaume ana vigezo vyake anavyovipenda kwa mwanamke.
Kwa mfano; mimi binafsi nina alergy na wanawake wenye makalio makubwa au maziwa makubwa.

Makalio ya wastani na chuchu saa sita ndo habari ya mjin!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom