AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,519
Hili swali najiuliza sana...?
Ni nani anayemjua mwanadamu kiasi kwamba akatuamulia dunia nzima tukasema.... Mtu ataendelea kuwa ni mtoto mpaka afikishe umri wa miaka 18.
Kiasi kwamba ile sheria ya ndoa inaruhusu mtu mwenye umri wa miaka 15 na kuendelea anaweza kufunga ndoa...hawa wanaharakati wanaipigia kelele.
Kwa mujibu wa sheria ya ndoa na mahusiano rasmi ya UINGEREZA NA WALES inasema... HAIFAI NDOA WALA MAHUSIANO RASMI KWA KIJANA MWENYE UMRI CHINI YA MIAKA 18.
Yaani na hawa wanaharakati wanapigia kampeni sheria hizi za kipuuzi ziingie na Tanzania... YAANI MAHUSIANO YASIYO RASMI MAARUFU KAMA UBOYFRIEND NA UGIRLFRIEND PAMOJA NA ZINAA RUHSA... MPAKA NA KONDOM WANAPELEKEWA SHULENI... ILA WAKIOLEWA NI KOSA...
NI NANI ANAONGOZA HAYA...?
NI NANI ALIYEFANYA RESEARCH KUWA MWANAFUNZI ANAPIMWA COMPETENCE KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA... YAANI MWAKA MMOJA DARASA MOJA...?
NANI AMETUPELEKEA KUPOTEZA UMRI WETU NAMNA HII... KIASI KWAMBA MTU MIAKA MPAKA 20 ANAITUMIA AKIWA SHULENI?