Ni nani aliyediriki kunitenda hivi?

pole sn, huyo alokufanyia hayo itakua ni m2 wako wa karibu sn na alikuona wakati unaitengeneza na wapi ukaiweka. Sasa tuseme ukija kumgundua alieichukua utamfanya nn?

aisee!
Ingawa nimemsamehe, ila kila nikimwona nitakuwa nazungumzia baruti, mpaka aombe poo. Fo sho nina domo chafu sana... Itamkost!
 
sijui ni mimi au vipi... mtu akiweka habari ya mahaba au mapenzi halafu ana avatar kama vile ni mchawi kutoka sumbawanga naona everything relating to him/her is fake

aiseee


hahahahahahah lol! Happy New year Mkuu :):)
 
Pole mkuu,mipango ya Mungu iyo.

sidhani, hiyo ni mipango ya aliyeniibia baruti yangu.
Suala la baruti liko too low kwa Mungu kushughulika nalo, matatizo ni mengi sana duniani, na mbinguni kuna changamoto ya kutanua jehanum, kwa vile waovu wameongezeka, sidhani kama Mungu anaweza kupoteza muda wake kulinda baruti yangu.
 
Back
Top Bottom