Ni nani aliyediriki kunitenda hivi?

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Najua ni wivu ndio ulikuwa ukimsumbua, hana lolote.
Mwenzie nilitoa muda wangu, nikate'neza baruti yangu ya plagi ya pikipiki na manyoya ya kuku, plagi yeyewe niliipata kwa shida gereji kwa Mudi NIGA, manyoya nikaokota jalalani.
Mpaka saa mbili usiku wa jana nilikuwa nayo, lakini nusu saa kabla ya sherehe za mwaka mpya, baruti yangu ikawa haionekani... Nakumbuka vizuri sana nilipoiweka, mahali salama, hata panya asingeifikia.
Huyu aliyenichukulia nimemsamehe, ila sitamsahau kabisa, kwa jinsi alivyonifanya nilale kabla sijauona mwaka!
 
Sasa andare, nusu saa before new year ulipokosa baruti yako, ulikufa ama ulifariki dunia? Inakuwaje ikakuzuia kuuona mwaka, ama baruti ilikuwa ndo tochi yako?
... lakini nusu saa kabla ya sherehe za mwaka mpya, baruti yangu ikawa haionekani...
..nimemsamehe, ila sitamsahau kabisa, kwa jinsi alivyonifanya nilale kabla sijauona mwaka!
 
Okay.... Pole kwa yaliyokukuta! I think thats what u needed to hear.
 
sijui ni mimi au vipi... mtu akiweka habari ya mahaba au mapenzi halafu ana avatar kama vile ni mchawi kutoka sumbawanga naona everything relating to him/her is fake

aiseee
 
ha ha ha ha, hujui kutengezeza baruti za viberiti na msumari?

Dk 5 tu baruti yako mkononi, uswazi raha sana.
 
Sasa andare, nusu saa before new year ulipokosa baruti yako, ulikufa ama ulifariki dunia? Inakuwaje ikakuzuia kuuona mwaka, ama baruti ilikuwa ndo tochi yako?

its a long time tradition, kuwa macho wakati mwaka unapobadilika, kuikosa baruti yangu kulinifanya nilale mapema!
It's againt the norms...
 
Okay.... Pole kwa yaliyokukuta! I think thats what u needed to hear.

angalau wewe umeujuwa uchungu wangu. Watu wanadhani kuibiwa simu na iPad ndo kunauma...
Tukio limeniathiri sana kisaikolojia!
 
sijui ni mimi au vipi... mtu akiweka habari ya mahaba au mapenzi halafu ana avatar kama vile ni mchawi kutoka sumbawanga naona everything relating to him/her is fake

aiseee

safi sana!
Inaonekana nikiweka avatar ya mumeo afu nikikutongoza humuhumu JF asubuhi, kufika saa 6 mchana nitakuwa nishakula mzigo.
Well Ms. Avatar
 
ha ha ha ha, hujui kutengezeza baruti za viberiti na msumari?

Dk 5 tu baruti yako mkononi, uswazi raha sana.

dah?
Unajua bro ilikuwa too late kutengeza ingine... Me was doomed enough yesterday!
 
So, hiyo nusu saa tu before new year ulipogundua huna baruti ukalala hapo hapo? Ungemuomba kongosho akutengenezee hiyo ya dk 5. Pole sana, I hope baruti za majirani zako hazikukuamsha
its a long time tradition, kuwa macho wakati mwaka unapobadilika, kuikosa baruti yangu kulinifanya nilale mapema!
It's againt the norms...
 
So, hiyo nusu saa tu before new year ulipogundua huna baruti ukalala hapo hapo? Ungemuomba kongosho akutengenezee hiyo ya dk 5. Pole sana, I hope baruti za majirani zako hazikukuamsha

frastresheni dadangu...
Ilikuwa ngumu kuwa na wazo la ku-PM kongosho,
nadhani unajua fika kuwa namba yake alininyima.
 
Nilikuambia, mie ni kama ndizi, usiponila kama chakula, utanila kama tunda au lubisi

frastresheni dadangu...
Ilikuwa ngumu kuwa na wazo la ku-PM kongosho,
nadhani unajua fika kuwa namba yake alininyima.
 
pole sn, huyo alokufanyia hayo itakua ni m2 wako wa karibu sn na alikuona wakati unaitengeneza na wapi ukaiweka. Sasa tuseme ukija kumgundua alieichukua utamfanya nn?
 
Back
Top Bottom