Ni Mbunge, Mkuu wa Mkoa, kada na Rafiki

huyu ni mmoja wapo wa kazi za ******...... GIRL FRIEND... NA KISHKAJI...
 
kwa kweli huu uteuzi wake ni wa ajabu usiokuwa na umakini ... kila kitu anapeleka kishkaji ....mh
Ndio uzuri wa siasa za vyama vingi..ngoja tuombee chama cha jirani kiingie madarakani nasi tuone vioja vyao!! kwani wote ni walewale..wanatofautiana ukubwa wa viuno vyao tu!
 
<br />
<br />
katika watu ambao wana uwezo mdogo wa kufikiri ni watu wenye gpa kubwa kubwa. hawa watu wanatumia muda mwingi kukariri ili wafaulu mitihani, ni watu ambao wakati wapo vyuoni hawajihusishi na mambo mengine nje ya masomo, sasa mtu kama huyo uje umpe uongozi unategemea atafanya nn? HATA SIKU MOJA HUWEZI KUPIMA UWEZO WA UONGOZI KWA AKILI ZA KUKARIRI.

well said mkuu...
in red hawanaga mda wa kupasua kichwa, wao ni kumeza tu.....
 
Wakuu natumaini ni wazima wote,kwa wale wenye matatizo ya kiafya poleni sana na mungu awape wepesi mpone mapema.
Baada ya salamu zangu hizo niliyonayo ni machache sana,nianze tu kwa kusema nimekumbuka watu walivyojazana pale uwanja wa taifa kugombea ajira za watu 70 na kujitokeza 10,000
Ndipo nilipostuka kuwa hii nchi imekwisha kwa bomu lile nililoliona pale taifa,lakini tukumbuke wakati huohuo utawala huu wa kifalume wa ccm umeendelea kupeana keki ya taifa kindugundugu.
Inakuwaje Mtu mmoja ni mbunge na ni mkuu wa mkoa namaanisha mtu mmoja anashika ajira zaidi ya moja?huko ni kusababisha wengine tukose ajira na kuendelea kuifanya nchi hii ni ya kifalume na niyawatu wachache Kwanza hawa wabunge wanahitaji muda wa kutosha kusimamia utekelezaji wa ahadi zao majimboni,hili halikubadiki hata kidogo.
Na suluhu ya ugawanaji vyeo huu na upeanaji huu wa ajira ni vijana kustuka na kuwa kitu kimoja mwaka 2015 kuakikisha tunaizika CCM na utawala wake kupitia box la kura.
Nawasilisha haya machache ungeni mkono kwa nguvu zote,ni matarajio yangu kuona mapovu pia kwenye jambo hili la msingi.
 
Baada ya salamu zangu hizo nianze tu kwa kusema nimekumbuka watu walivyojazana pale uwanja wa taifa kugombea ajira
Ndipo nilipostuka kuwa hii nchi imekwisha kwa bomu lile nililoliona pale taifa,lakini tukumbuke wakati huohuo utawala huu wa kifalume wa ccm umeendelea kupeana keki ya taifa kindugundugu.
Inakuwaje Mtu mmoja ni mbunge na ni mkuu wa mkoa namaanisha mtu mmoja anashika ajira zaidi ya moja?huko ni kusababisha wengine tukose ajira na kuendelea kuifanya nchi hii ni ya kifalume na niyawatu wachache hili halikubadiki hata kidogo.
Na suluhu ya ugawanaji vyeo huu na upeanaji huu wa ajira ni vijana kustuka na kuwa kitu kimoja mwaka 2015 kuakikisha tunaizika CCM na utawala wake kupitia box la kura.
Nawasilisha haya machache ungeni mkono kwa nguvu zote,ni matarajio yangu kuona mapovu pia kwenye jambo hili la msingi.
Kwa faida ya wengi embu tujuze ni nani huyo mwenye hivyo vyeo viwili?
 
Insdikitisha sana mtu ni mwenyekiti wa maisha wa chama Taifa, Mbunge wa Hai, Kiongozi wa Kambi rasm ya upinzani Bungeni, mwenyekiti Ukawa, mmiliki halali wa misukule kama mleta mada hapa na mpiga disko maarufu hapa mjini...
Vyeo vyote vyake sasa wengine nani atawaajiri??
 
CCM ni janga la taifa na maendeleo ya vizazi vijavyo!

Ni kweli kabisa mkuu ila hawa wengine ni janga la Dunia hebu tuone hii "Inasikitisha sana mtu ni mwenyekiti wa maisha wa chama Taifa, Mbunge wa Hai, Kiongozi wa Kambi rasm ya upinzani Bungeni, mwenyekiti Ukawa, mmiliki halali wa misukule kama mleta mada hapa na mpiga disko maarufu hapa mjini..."

Vyeo vyote vyake sasa wengine nani atawaajiri??
 
Insdikitisha sana mtu ni mwenyekiti wa maisha wa chama Taifa, Mbunge wa Hai, Kiongozi wa Kambi rasm ya upinzani Bungeni, mwenyekiti Ukawa, mmiliki halali wa misukule kama mleta mada hapa na mpiga disko maarufu hapa mjini...
Vyeo vyote vyake sasa wengine nani atawaajiri??

Kweli nyani haoni kundule hapo umeandika nini?
Unakumbuka Yusuph makamba alikuwa katibu wa ccm,mkuu wa mkoa na mbunge wa kuteuliwa kwa wakati mmoja?
Tatizo magamba bange zinawasahaulisha!
 
Ushishangae, hiyo ndiyo good governance wanayoihubiri CCM kila kukicha
 
Wakuu natumaini ni wazima wote,kwa wale wenye matatizo ya kiafya poleni sana na mungu awape wepesi mpone mapema.
Baada ya salamu zangu hizo niliyonayo ni machache sana,nianze tu kwa kusema nimekumbuka watu walivyojazana pale uwanja wa taifa kugombea ajira za watu 70 na kujitokeza 10,000
Ndipo nilipostuka kuwa hii nchi imekwisha kwa bomu lile nililoliona pale taifa,lakini tukumbuke wakati huohuo utawala huu wa kifalume wa ccm umeendelea kupeana keki ya taifa kindugundugu.
Inakuwaje Mtu mmoja ni mbunge na ni mkuu wa mkoa namaanisha mtu mmoja anashika ajira zaidi ya moja?huko ni kusababisha wengine tukose ajira na kuendelea kuifanya nchi hii ni ya kifalume na niyawatu wachache Kwanza hawa wabunge wanahitaji muda wa kutosha kusimamia utekelezaji wa ahadi zao majimboni,hili halikubadiki hata kidogo.
Na suluhu ya ugawanaji vyeo huu na upeanaji huu wa ajira ni vijana kustuka na kuwa kitu kimoja mwaka 2015 kuakikisha tunaizika CCM na utawala wake kupitia box la kura.
Nawasilisha haya machache ungeni mkono kwa nguvu zote,ni matarajio yangu kuona mapovu pia kwenye jambo hili la msingi.

hujui vyeo vya mbowe
 
Kweli nyani haoni kundule hapo umeandika nini?
Unakumbuka Yusuph makamba alikuwa katibu wa ccm,mkuu wa mkoa na mbunge wa kuteuliwa kwa wakati mmoja?
Tatizo magamba bange zinawasahaulisha!

Mkuu huyo ni ACT,na ndivo walivyofundishwa
 
insdikitisha sana mtu ni mwenyekiti wa maisha wa chama taifa, mbunge wa hai, kiongozi wa kambi rasm ya upinzani bungeni, mwenyekiti ukawa, mmiliki halali wa misukule kama mleta mada hapa na mpiga disko maarufu hapa mjini...
Vyeo vyote vyake sasa wengine nani atawaajiri??

dahhhh manyanya anaisimamia na kuiwajibisha serikali sijui anatumia muujiza gani manake kote yupo au yeye na mwakyembe wana siri ambazo kwenye richmond hazikusemwa
 
mbona umuulizi mungu kwa nini yeye ni mungu wa wajane yatima na wenye shida na aukuwa wewe,,,kingine kukujulisha ndugu ombea baraka zako ukingangana na za watu utishia kwenye maandishi huyo mama simjui lakini ndio yuko kwenye system mpwa ombea na wwewe ukamate hata ukatibu kata believe me...utaniambia kwenye kikosi cha chadema 2015
aakikisha una kadi ya chama

Duuuuh!
 
Kweli nyani haoni kundule hapo umeandika nini?
Unakumbuka Yusuph makamba alikuwa katibu wa ccm,mkuu wa mkoa na mbunge wa kuteuliwa kwa wakati mmoja?
Tatizo magamba bange zinawasahaulisha!

WRONG. Akiwa katibu mkuu hakuwa mkuu wa mkoa. Nafasi yake ilichukuliwa na lukuvi.
 
Jamani dawa ya kumaliza huu ugonjwa wote tunaijua. Tukitaka kuweka vigezo tunapaswa kuchukua hatua mwaka 2015.

Kweli mkuu shida ipo kwenye mfumo wa serikali ambao umemlundikia mtu mmoja jukumu la kutoa maamuzi mazito na mepesi ya nchi bila kumwekea vigezo vya kutoa maamuzi hayo
 
Back
Top Bottom