mchakachuaji
Member
- Aug 12, 2010
- 58
- 7
Katika uteuzi wa wakuu wa mikoa, mheshimiwa Rais amemteua Eng. Stellla Manyanya ambaye ni mbunge, rafiki, kada na mjumbe wa kamati ya kudumu ya bunge kuwa mkuu wa mkoa.
Hii ni aibu, kwani hakuna watu wengine wa kuongoza ili kupunguza ukosefu wa ajira na kutokuwa na mgongano wa kimaslahi? akiwa kwenye kamati ya bunge au bungeni anaweza kujikagua kama mkuu wa mkoa?
Pili mikoa ya Arusha, Morogoro na Mwanza hakuwa sahihi kuwapelekea waliokuwa wakuu wa wilaya au makada. NA HII NDIO HASARA YA KUTOKUWA NA VIGEZO VYA KISHERIA VYA KUWATEUA WAKUU WA WILAYA NA MIKOA AU VIGEZO ALIVYOSEMA GENERALI ULIMWENGU KUWA HUZINGATIA UGIRLFRIEND NA UKADA?
YASHAMWAGIKAAAA HASHAURIKII AU ANA WASHAURI WABAYA?