Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

hii thread ni ya aina yake,kwa hiyo mnaulizana maswali yasiyo na majibu?..sikilizeni nyie hakuna maswali yasiyo na majibu isipokuwa paradoxes tu!
 
Mfano
1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.?
2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?

Swali gumu kuliko yoooooye duniani ni hii number 2. wapi mungu alitoka. yani me nikifikiri na kutafakari na kufanya tafiti zangu, nahisi kuchanganyikiwa yani nakuwa kama nataka kuwa chizi hivi. Mingu ni nani? alitoka wap? kabla ya yeye nini kilikuwepo? yani dah? hapana kwakweli
 
Wanababe wa namba nataka kujua,katika hesabu za fedha baada ya trion kuna msamiati mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom