RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,620
- 3,936
Serikali siku zote imekuwa ikiwambia wananchi maneno matamu kuhusu treni ya umeme lakini hadi sasa utekelezaji wake umekuwa haueleweki, serikali imesubiri wananchi wapige kelele na msigwa aje kutoa ufafanuzi hilo ndilo wanalojuwa.
Juzi Mwigulu Lameck Nchemba amekuja na wazo la kubadilisha sheria ya manunuzi serikali inunue mitumba hii nikukejeli watanzania kwamba hatuwezi kufanya chochote.
Ni kweli mkuu wa serikali anaona kila kitu kinaenda sawa! Ni kweli hana mawazo yake mwenyewe kujuwa kuna sehemu anahujumiwa!
Wananchi mimi nauliza ni njia ipi ya kuikataa CCM? kwenye box la kura hiyo njia tusahau, wale jamaa wananjia nyingi za kuhujumu uchaguzi hilo mfahamu.
Mkiona tunaenda kwenye chaguzi za serikali za mtaa bila mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya mjuwe kwamba maridhiano yalikuwa yanafanyika na CCM na vyama vya upinzani ya kuachiana majimbo 2025 haya tunayosikia ya kupinga serikali yatakuwa kiini macho na kutuaminisha wananchi kwamba upo upinzani.
Nawatakia jumapili iliyo njema tusali na kuliombea taifa bila kusahau waraka wa TEC.