Ni lini treni ya umeme itaanza kufanya kazi nchini?

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Serikali siku zote imekuwa ikiwambia wananchi maneno matamu kuhusu treni ya umeme lakini hadi sasa utekelezaji wake umekuwa haueleweki, serikali imesubiri wananchi wapige kelele na msigwa aje kutoa ufafanuzi hilo ndilo wanalojuwa.

Juzi Mwigulu Lameck Nchemba amekuja na wazo la kubadilisha sheria ya manunuzi serikali inunue mitumba hii nikukejeli watanzania kwamba hatuwezi kufanya chochote.

Ni kweli mkuu wa serikali anaona kila kitu kinaenda sawa! Ni kweli hana mawazo yake mwenyewe kujuwa kuna sehemu anahujumiwa!

Wananchi mimi nauliza ni njia ipi ya kuikataa CCM? kwenye box la kura hiyo njia tusahau, wale jamaa wananjia nyingi za kuhujumu uchaguzi hilo mfahamu.

Mkiona tunaenda kwenye chaguzi za serikali za mtaa bila mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya mjuwe kwamba maridhiano yalikuwa yanafanyika na CCM na vyama vya upinzani ya kuachiana majimbo 2025 haya tunayosikia ya kupinga serikali yatakuwa kiini macho na kutuaminisha wananchi kwamba upo upinzani.

Nawatakia jumapili iliyo njema tusali na kuliombea taifa bila kusahau waraka wa TEC.
 
CHUMA kafariki na miradi yake, huyu aliyepo atakumbukwa kwa Loyal Tour na kuuza bandari. Hatuoni miradi ya maana ikizinduliwa au kuanzishwa. Hiyo treni ya umeme uenda angekuwepo chuma tungekuwa tumefika hatua ya mbali sana, au ingekuwa ishaanza kazi.

Huyu aliyepo ili akumbukwe basi angalau aache legacy ya Katiba mpya, na Tanganyika inayojitegemea kama Zanzibar alafu kuwepo na serikali ya Tanzania.
 
Serikali siku zote imekuwa ikiwambia wananchi maneno matamu kuhusu tren ya umeme lakini hadi sasa utekelezaji wake umekuwa haueleweki! serikali imesubiri wananchi wapige kelele na msigwa aje kutoa ufafanuzi hilo ndilo wanalojuwa

Juzi Dr. mwigulu lameck nchemba amekuja na wazo la kubadilisha sheria ya manunuzi serikali inunue mitumba hii nikukejeli watanzania kwamba hatuwezi kufanya chochote !

Ni kweli mkuu wa serikali anaona kila kitu kinaenda sawa! Ni kweli hana mawazo yake mwenyewe kujuwa kuna sehemu anahujumiwa!

Wananchi mimi nauliza ni njia ipi ya kuikataa ccm ? kwenye box la kura hiyo njia tusahau ! wale jamaa wananjia nyingi za kuhujumu uchaguzi hilo mfahamu

Mkiona tunaenda kwenye chaguzi za serikali za mtaa bila mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya mjuwe kwamba maridhiano yalikwusgafanyika ccm na vyama vya upinzani ya kuachiana majimbo 2025 haya tunayosikia ya kupinga serikali yatakuwa kiini macho na kutuaminisha wananchi kwamba upo upinzani.

Nawatakia jumapili iliyo njema tusali na kuliombea taifa bila kusahau waraka wa TEC.

Tuache kwanza, watu tuna fikiria Dipi Weld, SGR haina neno sana
 
Early 2026!!
 
Kwani huo mradi wa SGR hivi bado upo?
Kama huo mradi bado upo basi ni jina tu, lakini kiuhalisia umeshakufa kibudu.

Keep my word
 
Serikali siku zote imekuwa ikiwambia wananchi maneno matamu kuhusu treni ya umeme lakini hadi sasa utekelezaji wake umekuwa haueleweki, serikali imesubiri wananchi wapige kelele na msigwa aje kutoa ufafanuzi hilo ndilo wanalojuwa.

Juzi Mwigulu Lameck Nchemba amekuja na wazo la kubadilisha sheria ya manunuzi serikali inunue mitumba hii nikukejeli watanzania kwamba hatuwezi kufanya chochote.

Ni kweli mkuu wa serikali anaona kila kitu kinaenda sawa! Ni kweli hana mawazo yake mwenyewe kujuwa kuna sehemu anahujumiwa!

Wananchi mimi nauliza ni njia ipi ya kuikataa CCM? kwenye box la kura hiyo njia tusahau, wale jamaa wananjia nyingi za kuhujumu uchaguzi hilo mfahamu.

Mkiona tunaenda kwenye chaguzi za serikali za mtaa bila mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya mjuwe kwamba maridhiano yalikuwa yanafanyika na CCM na vyama vya upinzani ya kuachiana majimbo 2025 haya tunayosikia ya kupinga serikali yatakuwa kiini macho na kutuaminisha wananchi kwamba upo upinzani.

Nawatakia jumapili iliyo njema tusali na kuliombea taifa bila kusahau waraka wa TEC.
Si mpaka vichwa chakavu vifike
 
Niliwahi kuwaza, kuwa Labda serikali inunue madeni ya wale walionunua Mabasi ya route hiyo ili wasi default mara train ikianza kufanya kazi kisha, serikali kwa kutumia KITUO chake cha uwekezaji kupitia Wizara ya Biashara wawaonyeshe furusa mbadala ya Biashara ya Mabasi na wawalinde kwenye Biashara hizo kupitia sera, sheria na miongozo.

Wawalinde Kweli, Wasije kufanya kama walivyomuumiza Summry! Kahamia kwenye Kilimo baada ya kuacha Biashara ya usafirishaji, kazalisha mazao, wakaweka vigingi vya kumfanya asiuze mazao yake kwenye soko zuri zaidi! Pia Kuna na vijana kule nyanda za juu Kusini walianzisha Biashara ya Kilimo wakiwa wamelenga wateja wa Nairobi watakaokuja kununua mzigo kwenye geti la shamba lao, lakini wakaishia kushindwa kuuza mazao kwa upigwaji marufuku utaratibu huo kutokana na katazo lililowekwa na serikali!
 
Mzigo unapigwa kalenda toka 2019. Wengine tulishaamua kuwapuuza kwa tarehe yoyote watakayoitangaza tunajua fix.
 
kuna jamaa mwaka jana alileta mabasi 200 mapya na mwaka huu pia ameongeza mengine 200 sasa hapo unategemea treni itaruhusiwa kuanza kazi? Mpaka huyu jamaa arudishe fedha zake sijui lini? Hii treni ingeanza kama JPM angekuwepo tu
 
Serikali siku zote imekuwa ikiwambia wananchi maneno matamu kuhusu treni ya umeme lakini hadi sasa utekelezaji wake umekuwa haueleweki, serikali imesubiri wananchi wapige kelele na msigwa aje kutoa ufafanuzi hilo ndilo wanalojuwa.

Juzi Mwigulu Lameck Nchemba amekuja na wazo la kubadilisha sheria ya manunuzi serikali inunue mitumba hii nikukejeli watanzania kwamba hatuwezi kufanya chochote.

Ni kweli mkuu wa serikali anaona kila kitu kinaenda sawa! Ni kweli hana mawazo yake mwenyewe kujuwa kuna sehemu anahujumiwa!

Wananchi mimi nauliza ni njia ipi ya kuikataa CCM? kwenye box la kura hiyo njia tusahau, wale jamaa wananjia nyingi za kuhujumu uchaguzi hilo mfahamu.

Mkiona tunaenda kwenye chaguzi za serikali za mtaa bila mabadiliko ya sheria ya uchaguzi na katiba mpya mjuwe kwamba maridhiano yalikuwa yanafanyika na CCM na vyama vya upinzani ya kuachiana majimbo 2025 haya tunayosikia ya kupinga serikali yatakuwa kiini macho na kutuaminisha wananchi kwamba upo upinzani.

Nawatakia jumapili iliyo njema tusali na kuliombea taifa bila kusahau waraka wa TEC.
Reli ya umeme itaanza matajiri watakapoacha kununua malori kwa wingi
 
Back
Top Bottom